Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya...
Jana niliangalia video clip Moja Mh Rais akisema hakutarajia kupokelewa na Mfalime wa Uarabini nikajiulize je hakujua kama ni mkuu wa nchi?? Kwanini ashangae je alitegemea kupokewa na Naibu waziri??
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba leo amewasilisha mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ya tsh 41.06 trillioni.
Dr Mwigullu amesema Kilimo kitapewa kipaumbele.
======
SERIKALI...
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika...
Imeelezwa kuwa wakati serikali ikiendesha zoezi la kuweka mipaka katika Pori tengefu la Loliondo, makundi ya wananchi kutoka Kenya wamewavamia askari na kuwashambulia kwa silaha za jadi ikiwemo...
Ndugu wana Jamii wenzangu,Mada imejikita zadi kwenye swali tajwa hapo juu . Kwani nini taifa letu la Tanzania halina waziri aliye na cheo cha kijeshi katika wizara ya ulinzi Kama yalivyo mataifa...
Richard Temu, ni mfanyabiashara mlanguzi wa kakao katika Wilaya ya Kyela, ambaye hulangua kwa bei ya chini toka kwa Wakulima na kuziuza kwa mfumo uliowekwa na Serikali wa Stakabadhi ghalani...
Nikikuuzia au kukupangishia haka kakiwanja utanipa sh. ngapi? watoto watalalamika lakini mwishowe yataisha we kama unapapenda hapa sema tuongee bizinez. na wao nitawaambia hii pesa tunafanyia...
BIOGRAPHY YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Ndugu zangu nimepokea ujumbe huo hapo chini:
"Jana nilihudhuria Seminar juu ya Biography ya Mwalimu Nyerere pale Council Chamber Chuo...
Kwa katiba hii ambayo inampa Rais madaraka ya kufanya lolote,kuna siku nchi itauzwa na utapiga makofi
Nchi zingine duniani Spika na Jaji mkuu ni watu wenye nguvu kweli kweli sambamba na Rais...
Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja.
Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mama anaendelea kuweka rekodi kwenye Kila sekta.Sekta ya viwanda, biashara na uwekezaji nayo imeshuhudia mapinduzi makubwa.
Kwa mwaka mmja tuu wa mama madarakani...
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala...
Siku chache mara baada ya Mkurugenzi wa jiji la Arusha kung'olewa wadhifa wake kimizengwe kupisha uchunguzi,madudu kibao ya katibu tawala mkoa wa Arusha, Athumani Kihamia, yameanza kuibuka...
Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa.
Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu.
Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya...
RAIS SAMIA MPENDA UTU, WAMASAI HAWAONEWI. TUSIPOTOSHE!!
Na: Suphian Juma
Kuna mjadala tengenezwa unaendelea kuhusu Sakata la ndugu zetu Wamasai kuonekana ya kwamba wanaondelewa kwenye Hifadhi...
UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi
Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro si eneo ambalo ni Hifadhi ya Taifa na vile eneo hili la Ngorongoro halipo...
MSHINDANI WAKO ANAPOJIGEUZA MSHAURI MWEMA. LOLIONDO FACTS CHECK
SIKU Ukiona Mshindani wako katika jambo mnalishindania anakusauri juu ya kufanikiwa kwako kwenye jambo hilo JITAFAKARI SANA...
Kwa mara kadhaa nilikuwa nikifuatilia mikutano ya PM na Jamii ya Wamasai, kwenye ule utaratibu wa kuishirikisha jamii ya Kimasai kwenye masuala ya uhifadhi, mara nyingi kauli zao ni kwamba wapo...
Msemaji wa serikali ya ccm Leo amesema amefurahishwa sana kuona Media zipo kimya kwani kinachoendela kule ni propaganda tu.
Baada ya hapo wanahabari wamepiga makofi kwa shangwe nakusema hawapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.