Wananchi mjue Wabunge hawapo kwaajili yenu bali Serikali

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,206
Kama ulimsikiliza Mbunge wa Tarime hapo awali akitoa taarifa ya vifo na mauaji na jinsi Spika alivyokataa taarifa hiyo utadhani anaishi Tarime na ukisikia maelezo haya ya kibabe ya Spika utashangaa sana.

Lakini hitimisho linakuja ukiona wabunge wote wakishangilia kauli ya Spika dhidi ya Mbunge mwenzao aliyejitoa kuwasemea wananchi wake.

Je, kwa kitendo cha Wabunge hawa wa CCM kuna nafasi tena ya mbunge kusimama na kutetea hoja yake dhidi Serikali kama wenzake wanaweza kumgeuka na kuishangilia Serikali huku akionekana muongo?

Ameambiwa apeleke ushahidi kashindwa kwa hiyo kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kuizushia serikali sio sawa..

Pili huko US Huwa huoni wabunge wanavyotetea Viongozi na vyama vyao?
 
Nipo na Waitara spika alitakiwa atumie chombo chake ambalo ni bunge kufanya uchunguzi na sio kuomba msaada katika muhimili mwimgine wakati na yeye anao muhimili wake
 
Kama ulimsikiliza Mbunge wa Tarime hapo awali akitoa taarifa ya vifo na mauaji na jinsi Spika alivyokataa taarifa hiyo utadhani anaishi Tarime na ukisikia maelezo haya ya kibabe ya Spika utashangaa sana.

Lakini hitimisho linakuja ukiona wabunge wote wakishangilia kauli ya Spika dhidi ya Mbunge mwenzao aliyejitoa kuwasemea wananchi wake.

Je, kwa kitendo cha Wabunge hawa wa CCM kuna nafasi tena ya mbunge kusimama na kutetea hoja yake dhidi Serikali kama wenzake wanaweza kumgeuka na kuishangilia Serikali huku akionekana muongo?

BUNGE LA CHAMA KIMOJA BUNGE BILA KAMBI YA UPINZANI NI BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE BINAFSI NA SERIKALI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom