Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu amesema pamezuka tabia ya kufanya Sherehe pindi bajeti fulani inapopitishwa Baada ya Sherehe wahusika huanza kugawana dili za miradi mbalimbali Hivyo Waziri wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje? Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya...
9 Reactions
179 Replies
29K Views
Bajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje? Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza Serikali kubadili utaratibu uliopo ili kuwakopesha magari watumishi wa umma wenye hadhi ya kuwa na gari la Serikali ikiwa ni mkakati wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema. Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa...
17 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest...
2 Reactions
4 Replies
568 Views
Waziri wa fedha amezitaka Taasisi na Idara za serikali kuendesha vikao na mikutano yao kwa njia ya Mtandao ili kubana matumizi ya serikali Rais ni taasisi kadhalika CCM na Chadema ni Taasisi pia...
2 Reactions
2 Replies
603 Views
Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza. Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hata kama wachache wataikataa hii ila wengi watakubali kwamba Magufuli alikuwa zawadi maalum kwa taifa la tanzania. Alikuwa ni mtu mnyonge kwa wanyonge na maskini ambao ndio wengi kwenye taifa...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
TAFAKARI; NCCR- Mageuzi NI MOJA! Kumetokea makelele mengi kipindi hiki kwamba NCCR- Mageuzi kuna pande mbili, Hapana! NCCR- Mageuzi ni moja ila kuchagua mtazamo ni uwezo wa Akili yako kifikra...
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Kwema Wakuu! Napenda Siasa Kwa sababu ni mchezo wa wenye wajanja. Napenda Biashara Kwa sababu ni mchezo wa wenye bahati, napenda Fasihi na Falsafa Kwa sababu ni uwanja wa Akili na hekima...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Je, tutegemee kupanda kwa bei ya viberiti au mi ndio sijaelewa?🤔 Maanake safety match ndio bidhaa pekee ambayo haijapanda bei kwa miaka mingi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa...
36 Reactions
272 Replies
20K Views
Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Assalamualaikum wana JF! Naenda moja kwa moja kwenye mada yangu hapo juu: Kwa mujibu wa taarifa toka Serikalini ongezeko la idadi ya binadamu (Wamaasai) na ujenzi wa makazi yao katika Hifadhi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom