Itakayosomwa Leo ndio Bajeti ya serikali ya Awamu ya Sita kwa 100%

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Bajeti inayoishia 30/06/2022 Ilikuwa imeanza kuandaliwa na serikali ya Awamu ya 5 kabla Rais Magufuli hajatwaliwa na Mungu wa mbinguni

Bajeti itakayosomwa Leo na Waziri Mwigullu imeandaliwa kwa 100% na serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia

Mungu ni mwema wakati wote
 
Kama maendeleo ya nchi ni kuzunguka sana nje ya nchi, hiyo nchi ya Oman kiongozi wao mkuu huwa anafanya ziara wapi?
 
Ngoja tuone.

Ingawa bajeti hizi zimekuwa hazina uhalisia.


#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom