Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mchango wa JamiiForums watambulika bungeni, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba asema anaipongeza JamiiForums kwa kuweza kufanya uratibu wa mchakato wa mazungumzo yahusuyo mambo ya digitali...
22 Reactions
58 Replies
6K Views
KODI IKATWE KWA WATU WAZALISHAJI; UMRI SIO KIGEZO. Anaandika Robert Heriel. Serikali inayowajibu wa kutengeneza mazingira Kwa watu wake kujizalishia mali, serikali makini ni Ile inayofanya...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao...
30 Reactions
287 Replies
22K Views
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina...
25 Reactions
100 Replies
7K Views
Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo...
7 Reactions
75 Replies
5K Views
Wakuu Serikali haijatatua tatizo! Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake! Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko...
21 Reactions
39 Replies
3K Views
Ingekuwa vizuri Serikali ipange mishahara ya wabunge kwa kufuata viwango vya elimu zao. Bunge letu tukufu hupata wabunge wa viwango tofauti tofauti vya elimu kama ifuatavyo: 1. Elimu ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wednesday, 30 December 2015 OBC - Hunters from Dubai and the Threat against 1,500 km2 of Maasai Land in Loliondo It’s been some time since I wrote a summary about OBC and the 1,500 km2, a lot...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi. Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo. Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake. Na...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Jumuiya ya Wazazi CCM imelaani vikali kauli za aliyekuwa mwanachama wao Mzazi Baraka Shamte Aidha Jumuiya hiyo imeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini: 1. Je, Baraka Shamte yuko peke...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi...
0 Reactions
13 Replies
965 Views
Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania ==== HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naibu Spika Zungu amesema bungeni pamezuka tabia ambayo siyo nzuri yaani wakati mbunge anachangia mbunge mwingine anasimama na kumkatiza ili atoe taarifa. Na mara nyingi taarifa zinazotolewa...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Huo mkoa mbona kama umesahaulika kiasi hicho! Katika barabara mbovu kuwahi kutokea hapa nchini basi barabara ya nyakanazi hadi kigoma ni barabara mbovu kuwahi kutokea katika barabara zote nchini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom