Chadema ni Taasisi kubwa nchini,Je! hamfahamu kwamba,
Oman[emoji1190] na UAE [emoji1256] ni nchi mbili tofauti.
Mnapaswa kuonesha ukomavu wenu kwa kutoa taarifa sahihi na zenye kuonyesha Weledi...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wapinzani wakishutumu vyombo vya habari kwa kukwepa kutoa habari za Loliondo haswa zinazohusu upande wa Wamasai.
Lakini cha ajabu zaidi ni gazeti la Mwenyekiti wa...
Kitu cha kwanza walichokifanya wakoloni walipokuja kwetu ni kutuambia kuwa kila kitu chetu hakifai, ni duni, ni uchenzi. Hii ikasababisha watu wabadilishe hata namna ya kuvaa, kuchana nywele...
Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika
1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na...
Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu.
Mbowe, Rais Samia anajua wewe...
Waziri wa Maliasili na Utalii mh Chana amesema mpya wa Wamasai wa Handeni umekamilika na familia 100 za kwanza kutoka Ngorongoro zitapokelewa
Chana amesema Nyumba, Shule na Majosho yamekamilika...
Tunapozungumzia suala la Ngorongoro kwa hisia tukumbuke wapo wamasai walishaondoka kitambo na wanaishi maisha mazuri tu mjini. Hata mashuka walishaacha kuvaa. Wapo wengi ni walinzi na wasusi...
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.
Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee...
Waziri Masauni amesema kabisa kuwa sasa nchi ina amani ya kutosha kabisa.
Akawataka walioikimbia nchi sasa warudi nyumbani ili wainenge nchi yao.HONGERA SANA MH MASAUNI.
Hii inaonyesha kweli...
Bunge huru hutunga sheria huru na Mahakama huru hutafsiri hizo sheria bila kuingiliwa na mhimili wowote, kuhakikisha sio kandamizi kwa Raia na zinatumika katika maono mapana ya taifa kwa ujumla...
Ukiangalia mfumo wa uongozi wa awamu ya sita na nne vinafanana sana. (Makusanyo hafifu ya kodi na gharama kubwa za maisha kwa wananchi kwa manufaa ya wafanaya biashara, huduma mbovu za sekta ya...
Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania
Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na...
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mongella amesema Picha zinazorushwa mitandaoni siyo za leo ni za miaka mitatu iliyopita
Picha hizo zinaonyesha Watu wenye majeraha wakidaiwa wamepigwa Loliondo
Mongella...
Na John Mwakanga, Mbeya
Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan...
1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama?
Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu.
2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda?
• Wanzilishi wawili...
Bajeti ya Serikali ni Mkadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha. Juni 14, 2022 Waziri wa Fedha na Mipango atasoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2022/23.
Bajeti husaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.