Nimemsikia Jana waziri wa fedha Dr Mwigullu ukilalamikia mzigo mkubwa wa kulipa Mishahara na Posho unaobebwa na serikali kwa sasa.
Naomba kujua Mishahara na Posho za Wabunge ni asilimia ngapi ya...
Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya ving'amuzi. Yaani unawakamua wananchi ambao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama...
Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya...
Na George Bura, Dar es Salaam
Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji...
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kumrejeshea Fatma Karume uwakili wake kama sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kufungua ukurasa mpya wa wakisiasa...
Hebu jiulize kila mwaka bajeti ikisomwa watu wengi wanaisifia lakini ukifika muda wa utekelezaji vijisababu vingi sana mara Covid 19 mara vita vya urussi na ukraine kitakachotekelezwa katika...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao...
Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimekubaliana kuongeza Ushuru wa Forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 35 kwenye...
Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara...
Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika.
Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni...
Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha...
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi...
MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA.
Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha...
Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya...
Mengi nayaona katika taifa langu tanzania! Nimejifunza ukitaka kula cake ya nchi usile peke yako wengi watakupigia miluzi mingi kuwa utendaji wako mbovu!
Hii maana yake ni kwamba hata kama huibi...
Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa!
Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU SERIKALI KUENDESHA OPERESHENI YA KUWAHAMISHA KWA NGUVU WANANCHI WILAYA YA NGORONGORO
Kwa Muda mrefu sasa pamekuwa na mgogoro baina ya Serikali na wananchi wa Wilaya ya...
Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa.
‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi.
Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza...
Wa-TZ wenzangu!
Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu...
Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora.
Sifa za Mtumishi Bora ni:
1. Muwazi
2. Mchapa kazi
3. Mwaminifu
Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.