Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mijadala kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha. Wapo wanaopendekeza Tanzania kama nchi ikubali uwepo wa uraia pacha ili kuzipata faida zitokanazo na uraia wa aina...
7 Reactions
93 Replies
9K Views
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawapo ndani ya ukumbi wa Bunge na kwamba wanatakiwa wawepo wakati wote ambao wabunge...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wabunge 3 wa CCM akiwemo mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, Prof Kitila Mkumbo na Christopher Olesendeka wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za Kufanya uchochezi, kupanga njama na wananchi...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe...
14 Reactions
88 Replies
5K Views
Complete violation of the constitution of URT. 👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Salaam. Mwl J.K NYERERE ndiye baba wa taifa kwelikweli, yaani mwasisi wa taifa letu, ameasisi Mambo mengi ambayo mpaka Sasa yanalifanya taifa kudumu katika amani na utulivu, siwezi kuyaeleza ni...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia usiku huu, inadaiwa kwamba mtu huyu mzalendo, aliyetekwa na kunusurika kuuawa na Janjawidi pamoja na Mazombie, ambao ni watekaji maalum wa Zanzibar (Tanganyika...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji wilayani Kilindi mikoani Tanga umemalizika Waziri wa mifugo alifikako Kilindi leo na kufaniliwa kuumaliza kabisa mgogoro huo ambapo Wamasai walionekana kurukaruka...
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Mh Rais Samia nakumbuka nasaha yako kuwa Rais hakosei ila kwa haya matatu Rais Samia hukulitendea haki Taifa lako pendwa la Tanzania. Mnamo mwezi April 2022 lilibuka fukuto huko nchini Saudia...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini ya makubaliano ya awali ya mkataba wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia na kampuni za Equinor ya Norway na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Utalii wowote ambao unahusisha kuhamisha wanyama wetu kutokoka Tanzania kwenda nchi nyingine yoyote tuukatae wote bila kujali kabila, dini, jinsia wala elimu ya mtu. hata tukipewa bei gani. Hakuna...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana...
8 Reactions
70 Replies
4K Views
Mambo ni mengi muda ni mchache. Basi mliopo eneo la tukio mtujuze yanayojiri tafadhali Mungu ni mwema wakati wote
3 Reactions
113 Replies
11K Views
Nilikuwa nashangaa nilipokuwa naona watu wa CCM na Chadema kwa kutanguliza interest za chama chao badala ya interests za Taifa. Mfano CCM wanaweza ona madudu ya Serikali na kuamua kuilinda...
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Spika Tulia ametoa angalizo kuwa utaratibu wa bunge Kupongezana ni kupiga Meza na siyo kupiga makofi au vigeregere. Hivyo Wakati wa uchangiaji wa hotuba ya Bajeti zipigwe Meza tu Chanzo: Star tv...
2 Reactions
5 Replies
851 Views
Kada wa CCM aliyevuliwa uanachama Mzee Baraka Shamte amemuomba radhi Rais wa SMZ Dr Mwinyi kwa kumvunjia heshima Aidha Shamte ameiomba msamaha CCM akidai hili ni kosa lake la kwanza Mzee Baraka...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia...
89 Reactions
123 Replies
8K Views
Back
Top Bottom