Haiingii akilini Serikali kupendekeza kuanzisha tozo ya ving'amuzi wakati kuna mapato yanapotea eneo la uvuvi wa bahari kuu. Huu ni uonevu usiofaa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya ving'amuzi. Yaani unawakamua wananchi ambao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.

Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?

Kampuni nyingi tu za kigeni zinavua kwa wizi huko bahari kuu. Na hizi zikidhibitiwa zitaweza kuongeza mapato ya taifa kuliko kuonea wananchi kwa tozo za vig'amuzi.

Mwigulu ni waziri asiyefaa ndio maana alitunanga tuhamie Burundi. Ana roho mbaya sana.

Nini hiki?
👇
Mwananchi › kitaifa

Serikali yapendekeza ada kwenye ving'amuzi - Mwananchi
 
Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya vig'amuzi. Yaani unawakamua wananchi amabao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.

Serikali ya chizi magufuli ilipor korosho za wakulima.
Serikali ya chizi magufuli lilinunua ndege kwa kuwaita watengeneza ndege chumbani huku raisi Akikalia sheria ya manunuzi matakoni mwake
 
Ulichopost hapa kinamahusiano gani na mada husika?
 
Anaupiga mwingi!
 
Na hapo wameshusha ushuru kwenye madini. Tumepigwa.

1655298801549.png
 
Serikali ya chizi magufuli ilipor korosho za wakulima.
Serikali ya chizi magufuli lilinunua ndege kwa kuwaita watengeneza ndege chumbani huku raisi Akikalia sheria ya manunuzi matakoni mwake
Wew inaonyesha kabisa ni mwiz au kuna sehem nyeti ulikuwa unpiga ukanyangsnywa kitengo.
 
Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya vig'amuzi. Yaani unawakamua wananchi amabao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.

Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?

Kampuni nyingi tu za kigeni zinavua kwa wizi huko bahari kuu. Na hizi zikidhibitiwa zitaweza kuongeza mapato ya taifa kuliko kuonea wananchi kwa tozo za vig'amuzi.

Mwigulu ni waziri asiyefaa ndio maana alitunanga tuhamie Burundi. Ana roho mbaya sana.

Nini hiki?
👇
Mwananchi › kitaifa

Serikali yapendekeza ada kwenye ving'amuzi - Mwananchi
Unazijua kampuni ngapi zinazoiba huko Bahari kuu?

Unaweza tusaidia kudhibiti?

King'amuzi ni chakula hadi utoe mapovu hivi?
 
Mimi tangu anateuliwa huyu jamaa kwenye hiyo Wizara, nilijua moja kwa moja cha moto tutakiona.

Na huu ndiyo ukweli mchungu! Akiachwa kwenye hii Wizara mpaka 2025, basi wananchi wengi watafika wakiwa wamechoka sana.
 
Na hapo wameshusha ushuru kwenye madini. Tumepigwa.

View attachment 2261636
Yaani unachukua section ambayo ina maelezo clear kabisa kwamba Serikali inataka kudhibiti utoroshaji na kuchochea shughuli za uzalishaji madini na mwisho kuongeza mapato..

Ndio maana China huwa haitoa nafasi kwa mburula kuhoji bila hivyo hakuna maendeleo wangepata...

Ulivyo mpumbavu unashindwa hata kujua kwamba viwanda 3 vya kusafisha madini vimekosa malighafi kwa sababu ya Kodi hii ambayo serikali inaipunguza..
 
Wewe Muongo na Pambe la Bi Tozo tu.

Kutorosha hata bila kodi yatatoroshwa. Juzi kati liliuzwa jiwe kubwa Dubai unazani kwa sababu ya Kodi?. Awamu ya nne ilikuwa na kodi kidogo sana lakini Tanzanite ikuwa inauzwa na wakenya na wahindi huko kwao huku ikichibwa TZ.

Bibi Tozo kalegea sana.
 
Wew inaonyesha kabisa ni mwiz au kuna sehem nyeti ulikuwa unpiga ukanyangsnywa kitengo.
Nimesoma na bado nasona nikiwa Tanzania. Sijawahi kuwa mwizi wa nchi kwa namna yoyote ile. MAGUFULI ALIKUWA KIONGOZI MPUUZI.
Pigia mstari neno mpuuzi mkuu.
 
Back
Top Bottom