MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA.
Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha kupelekea Askari mmoja kufariki kwa kupigwa na mshale,
Mapya yamezidi kuibuka baada ya kuonekana kwa picha za baadhi ya wanaodaiwa kuwa ni majeruhi wakiwa hospitali nchini Kenya.
Katika hali isiyoelezeka ni kwa namna gani majeruhi hao wameweza kuvuka mpaka na kuingia kenya kutibiwa?.
Kama hakukuwa na mpango maalum iliwezekanaje watu hawa kusafirishwa kwa siri na kupelekwa hospital nchini humo?.
Je hospital za huko zinawasajili kama Watanzania ama wakenya?... Kama zinawasajili kama watanzania je wamepata rufaa kutoka Tanzania?.
Taarifa za uhakika ambazo chombo chetu inazi zinasema kuwa kuna mkakati wa makusudi wa majirani zetu kufanya kila jitihada kudhoofisha utalii wa Tanzania hasa wakilenga kanda ya kaskazini
Taarifa zaidi zinasema hii inachagizwa zaidi na hofu ya kupoteza kwao ushawishi kunakotokana na umashughuli unaoongezeka siku hadi siku hasa baada ya kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour.