Jumanne Kishimba sidhani kama hawa watu wanakuelewa

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,313
Nimemsikia mheshimiwa kishimba akitema nondo za uhakika, mh Kishimba mbunge wa kahama amehoji iweje namibia iongoze Africa kwa ku export mkaa wakati 85% ya nchi yake ni jangwa, wakati sie 85% ya nchi ni msitu hatuuzi hata debe moja, chakushangaza mkaa wa Africa unauzwa ujerumani ukifika huko unafanyiwa reparkeging na kuuzwa tena nchi za ulaya, hivi kweli tuna akili timamu?

Namibia hawana magogo ya kuchoma mkaa wana kusanya bush shrubs na kuprocess kuwa mkaa, sie haya mavichaka yapo tele na hatakama tuki ya process hatutayamaliza, juzi nimeona bodaboda zilizosheheni mkaa zikipita kwa speed pale mlandizi zikiwapita trafik kama upepo wa kisulisuli yaani akigeuka swiii imeshatokomea. Nikajiuliza hawa vijana wangepewa leseni halali siwangelipa kodi na wangefanya biashara katika mazingira salama.

Nimejiuliza kwanini wafanyabiashara wetu kama akina shabiby kishimba musukuma tabasamu mansoor hawawazi exports? mbona tunazo bidhaa nyingi za kuuza nje ya nchi, tatizo nini? Ila naona tunayo mawazo ya kizamani kuwa tukiuza nje ya nchi eti tuna nyonywa rasilimali, sasa siwasukuma wanasema mtu huponywa na cha kwake!

Naimani tukiweka mazingira mazuri ya exports, tutakuza uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja mmoja, tutatengeneza ajira na tutaondokana na social problems nyingi.
 
Yaani kutoa kijijini na kuleta mjini kwa matumizi ya nyumbani, hivyo vibali vyake, ni Kama unasafirisha bangi.

shida ni elimu yetu, wasomi wetu, Wana tumia mambo yaliyoko kwenye vitabu walivyosoma, hakuna anayejiuliza mbona wazungu hawatumii haya waliyotuandikia. Wanajua hayatekeleziki Ila ndio yameandikwa...

Wasomi wetu wanajua ili kukuza uchumi ni kufunga mipaka kwa Kodi kubwa, ili kutunza mazingira zuia uvunaji wa misitu, wakati hao watunga masomo wao ndio wavunaji wakubwa wa misitu kwenye nchi zao. Watu wanavyoteseka, wanadai ndio uchumi wenyewe.

Bei ya mkaa ilitakiwa iwe Chini kuliko nchi yoyote Africa, tulitakiwa kuwa wauzaji wakubwa wa mbao na mkaa duniani', Hilo tumeshindwa, sijui tunaweza nini, nasikia hadi kiwanda cha mgololo kimefungwa

Nchi hii maisha yangekuwa nafuu sana Kama tungeongozwa na kina Kishimba na msukuma, vinginevyo kuna siku tutanunua mkaa toka Japani, huku tuna mapori yasio na maana
 
Huyu ndiyo Mbunge halisi
 
Sisi tumelogwa mkuu
 
Kishimba hakuna mbunge au mtawala anayeweza kumuelewa maana anawapiga kwenye mshono. Anasema kwa maisha yalivyo magumu itokee wabunge walipwe 150,000 kwa mwezi halafu wakae Mbagala na familia ya watu wanne aone kama atatoboa.
 
Tuna wasomi wajinga huko bungeni...ndiyo mjitu inatuingiza kwenye sheria kandamizi za kimasikini
 
Back
Top Bottom