maslulkat
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 135
- 108
Je, IGP Siro kutamka na kusisitiza neno haki linaendana na Namna Jeshi lake linavyotenda kazi?
Naamini anajua na anatambua wazi ni jinsi gani Jeshi lake lilivyo mstari wa Mbele kutoishi neno HAKI, Jeshi linaloongoza Dhuruma, uonevu na matendo yote ya ajabu.