Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,834
Tunaweza kuona kama huyu spika ana kiburi lakini ukweli nikuwa moja ya mzigo mzito unaomtoa jasho ni huu msala aliotelekezewa kutoka kwa mrithi wake.
Anapitia wakati mgumu sana huku akijua fika kinachofanyika ni hila mbovu za serikali, japo kuendelea kuwakumbatia kwa maelekezo kutoka juu - Rais, inamuharibia sana status aliyonayo.
Ebu twende Sawa : iko hivi, Hili swala la hawa wabunge fake haliko mikononi mwa bunge, mahakama wala chadema Bali liko mikononi mwa Samia, yani piga ua kama Samia hajatoa amri kwa Katiba yetu hii ngoma kuchomoa ni ngumu.
Yaliyomkuta job ndugai madhara yake ndio haya, spika anaogopa kutoa maamuzi magumu maana akienda kinyume na Rais atazongwa mpaka na mjumbe wa nyumba kumi, narudia tena, hawa wabunge fake niwamama Samia over.
Tulia Ackson anakosa hata usingizi, hii ngoma msiichukulie poa, ivi aendelee kuwabeba ili iweje??, wanampa nini??, ukweli nikuwa haya makapi anatamani kuyatapika mda wowote ule maana kwanza wanaharibu bunge tu hakuna cha maana tena pale walipo.
Hata mahakama Leo itangaze rasmi kujiridhisha kuwa watu hawa sio wanachama wa chadema bado tu huyu spika atapiga simu kwa Samia apewe go ahead, kama ms president akisema usiwafukuze mimi nakwambia hawatatoka bungeni.
Tuachane na maelezo ya hapo juu sasa naomba tujikite kwenye mambo ya msingi :Hivi ni kweli kabisa watanzania wote tumeshindwa na hawa wanawake 19. Can you imagine makerere tunayopiga mitandaoni na bado tunaishi nao lakini wanaendelea kama kawaida kuingia bungeni huku wakitung'ong'a.
Hizi ni fedheha kama taifa maana ninavyojua general principle ya uwajibikaji na uwajibishwaji ipo mikononi mwa hii mihimili mitatu yaani bunge serikali na mahakama, endapo wakashindwa basi mamlaka kuu hurudishwa kwa wananchi ili sisi tuamue tunafanyaje.
Mwaka 2021 uchaguzi mkuu wa Uganda bobi wine alishtaki mahakamani serikali ya Museveni na tume ya uchaguzi ya Uganda kwa kupora kura za wananchi lakini alipogundua mahakama sio ya Uganda Bali niyamseveni, aliamua kulileta swala hilo kwa wananchi nakusema "I bring this to the Court of the people" akiamini kuwa kama justice imekuwa inafinywa mahakamani basi generally no option zaidi ya wananchi wenyewe kuamua wakae kimya au zipigwe.
Rais wa zamani wa marekani sir Jefferson aliwahi kusema "when injustice become law resistance becomes duty", Sasa sisi hatuwezi kuona sheria zinavunjwa tena sio sheria, ni Katiba inavunjwa halafu tuendelee kukaa kimya hicho kitu hakipo. Hili swala litakuja kulipuka moto wa petrol cha mtoto, maana wanalichukulia simple sana halafu wasitarajie kuwa kutaibuka kundi kubwa la watu, wala haiko hivyo Bali mtu mmoja kuweka maisha yake rehani ni jambo la dakika sifuri tu hapo nadhani watakuja kuheshimu utawala wa sheria.
Tunacholalamika wananchi sio posho wanazochukua, sisi jaziba yetu ni kuona Katiba ya nchi inasiginwa waziwazi. Hapa ndoumuhimu wa Katiba mpya unaonekana maana nchi ambazo Katiba ni stable hujuma za hawa wabunge fake zingeondoka mpaka na Rais nawangeozea jera.
Nchi za wenzetu huko moja ya kesi ngumu kuchomoa ni kuvunja Katiba ya nchi ikifuatia ukwepaji wa kodi jambo ambalo ni contrary kwenye nchi zetu. Watanzania tutaamka tu kutoka usingizini endeleeni kutuwangia.