Lema ahofia Mwenendo wa Mbowe na CCM

mkalamo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
243
307
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa unaweza kumpofusha kiongozi wake huyo asione hila yoyote kutoka kwao.

Lema ameonyesha hofu hiyo kupitia Ukurasa wake wa Twitter,leo Juni 23 ambapo ameandika na kumuasa Mbowe juu ya ukaribu wake na CCM hasa wakati huu ambao sakata la wabunge 19 wa Chama hicho likiwa linazungumzwa katika mazingira tofauti.

Katika kuonyesha hofu yake hiyo kupitia Twitter Lema ameweka picha inayomuonyesha Mbowe,Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdul Rahman Kinana

Katika picha hiyo ambayo Mbowe ameweka mikono yake mbele mithili ya mtoto anayeomba msaada kwa Mzee wake Lema ameandika

"Mwenyekiti nimefanya kazi na wewe kwa muda Mrefu.Naujua moyo wako juu ya nchi,najua Nia yako.Ninakiri kuwa umejitoa kwa ajili ya Tanzania.Tunapokuwa kwenye mazungumzo ya Tanzania Bora muombe Mungu akuonyeshe hila"

Kisha akauliza swali kuwa

"Unafikiri Spika anaweza kuvunja sheria Bila baraka za CCM?"

Kauli hiyo ya Lema imebebwa kwa uzito mkubwa na wachangiaji mbali mbali ikizingatiwa kuwa ni mkosoaji na mtu mwenye maono ambayo mara kadhaa yamekuwa yakijidhihirisha.

Miongoni mwa waliomuunga Lema Mkono juu ya hofu yake hiyo ya Mwenendo wa Mwenyekiti ni pamoja na mwanaharakati wa mitandaoni Mdude Chadema ambaye aliishauri badala ya kutumia neno CCM Lema angepaswa atumie neno Samia.
 
mzeewaSHY

JF-Expert Member
Aug 31, 2021
2,325
1,901

" Asikwambie MTU asali tamu !! Lakini huenda anavuta subira !!
 
happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
343
1,340
Ufalme na usultani wa Mbowe naona sasa unaelekea mwishoni kama chawa wake watiifu nao wameanza kupata mashaka iwapo ikulu yanafatwa maridhiano au anaenda kujichotea debe la asali.

Ilikuwa ni suala la muda tu wachaga wenzie nao wastukie mchongo.
 
Bejamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
64,602
68,542
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa unaweza kumpofusha kiongozi wake huyo asione hila yoyote kutoka kwao.

Lema ameonyesha hofu hiyo kupitia Ukurasa wake wa Twitter,leo Juni 23 ambapo ameandika na kumuasa Mbowe juu ya ukaribu wake na CCM hasa wakati huu ambao sakata la wabunge 19 wa Chama hicho likiwa linazungumzwa katika mazingira tofauti.

Katika kuonyesha hofu yake hiyo kupitia Twitter Lema ameweka picha inayomuonyesha Mbowe,Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdul Rahman Kinana

Katika picha hiyo ambayo Mbowe ameweka mikono yake mbele mithili ya mtoto anayeomba msaada kwa Mzee wake Lema ameandika

"Mwenyekiti nimefanya kazi na wewe kwa muda Mrefu.Naujua moyo wako juu ya nchi,najua Nia yako.Ninakiri kuwa umejitoa kwa ajili ya Tanzania.Tunapokuwa kwenye mazungumzo ya Tanzania Bora muombe Mungu akuonyeshe hila"

Kisha akauliza swali kuwa

"Unafikiri Spika anaweza kuvunja sheria Bila baraka za CCM?"

Kauli hiyo ya Lema imebebwa kwa uzito mkubwa na wachangiaji mbali mbali ikizingatiwa kuwa ni mkosoaji na mtu mwenye maono ambayo mara kadhaa yamekuwa yakijidhihirisha.

Miongoni mwa waliomuunga Lema Mkono juu ya hofu yake hiyo ya Mwenendo wa Mwenyekiti ni pamoja na mwanaharakati wa mitandaoni Mdude Chadema ambaye aliishauri badala ya kutumia neno CCM Lema angepaswa atumie neno Samia.
Mbowe anajitambua sn
 
Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,526
6,610

Mbowe anafikiria katiba sio drama za wanachama ambao tayari wamefukuzwa. Spika akiwaacha ni mbaya kwa bunge sio Chadema! Uamuzi sio wa Chadema hivyo huwezi kumlaumu Mbowe.
 
mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,489
2,547
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa unaweza kumpofusha kiongozi wake huyo asione hila yoyote kutoka kwao.

Lema ameonyesha hofu hiyo kupitia Ukurasa wake wa Twitter,leo Juni 23 ambapo ameandika na kumuasa Mbowe juu ya ukaribu wake na CCM hasa wakati huu ambao sakata la wabunge 19 wa Chama hicho likiwa linazungumzwa katika mazingira tofauti.

Katika kuonyesha hofu yake hiyo kupitia Twitter Lema ameweka picha inayomuonyesha Mbowe,Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdul Rahman Kinana

Katika picha hiyo ambayo Mbowe ameweka mikono yake mbele mithili ya mtoto anayeomba msaada kwa Mzee wake Lema ameandika

"Mwenyekiti nimefanya kazi na wewe kwa muda Mrefu.Naujua moyo wako juu ya nchi,najua Nia yako.Ninakiri kuwa umejitoa kwa ajili ya Tanzania.Tunapokuwa kwenye mazungumzo ya Tanzania Bora muombe Mungu akuonyeshe hila"

Kisha akauliza swali kuwa

"Unafikiri Spika anaweza kuvunja sheria Bila baraka za CCM?"

Kauli hiyo ya Lema imebebwa kwa uzito mkubwa na wachangiaji mbali mbali ikizingatiwa kuwa ni mkosoaji na mtu mwenye maono ambayo mara kadhaa yamekuwa yakijidhihirisha.

Miongoni mwa waliomuunga Lema Mkono juu ya hofu yake hiyo ya Mwenendo wa Mwenyekiti ni pamoja na mwanaharakati wa mitandaoni Mdude Chadema ambaye aliishauri badala ya kutumia neno CCM Lema angepaswa atumie neno Samia.
Hiyo tweet ipo wapi tuione?
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
12,189
46,459
Naunga mkono kauli ya Lema, maridhiano gani huku watu bado wanavunja sheria mbele ya macho yako?
 
rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
16,548
28,791
Mkuu
Kuna makubaliano FULANI hivi Mbowe anafanya na CCM ambayo katumwa na ofisi kubwa ambayo ccm inawajibika kwao!!!
Wasiwe na shaka! MBOWE anajua Taasisi anayoitumikia ambayo hata wafuasi WENGI wa CHAMA hawajui!!!
Mbowe ashajua Njia ya Violence na vitisho kamwee haitasaidiaa kituuu...!! Wameanza kukubali mchakato wa katiba mpyaaa nice move.... Mbowe asianze kutupia mawe mbwa wanaobweka pembeni aendelee kusonga mbelee! Kina mdee watatolewa tu ila Serikali haitaki kuonekana imeshurutishwa na chadema na chadema nao kelele hawaachi hawajui ndo wanazidi kuharibuu...
 
Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
1,822
1,303
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa unaweza kumpofusha kiongozi wake huyo asione hila yoyote kutoka kwao.

Lema ameonyesha hofu hiyo kupitia Ukurasa wake wa Twitter,leo Juni 23 ambapo ameandika na kumuasa Mbowe juu ya ukaribu wake na CCM hasa wakati huu ambao sakata la wabunge 19 wa Chama hicho likiwa linazungumzwa katika mazingira tofauti.

Katika kuonyesha hofu yake hiyo kupitia Twitter Lema ameweka picha inayomuonyesha Mbowe,Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdul Rahman Kinana

Katika picha hiyo ambayo Mbowe ameweka mikono yake mbele mithili ya mtoto anayeomba msaada kwa Mzee wake Lema ameandika

"Mwenyekiti nimefanya kazi na wewe kwa muda Mrefu.Naujua moyo wako juu ya nchi,najua Nia yako.Ninakiri kuwa umejitoa kwa ajili ya Tanzania.Tunapokuwa kwenye mazungumzo ya Tanzania Bora muombe Mungu akuonyeshe hila"

Kisha akauliza swali kuwa

"Unafikiri Spika anaweza kuvunja sheria Bila baraka za CCM?"

Kauli hiyo ya Lema imebebwa kwa uzito mkubwa na wachangiaji mbali mbali ikizingatiwa kuwa ni mkosoaji na mtu mwenye maono ambayo mara kadhaa yamekuwa yakijidhihirisha.

Miongoni mwa waliomuunga Lema Mkono juu ya hofu yake hiyo ya Mwenendo wa Mwenyekiti ni pamoja na mwanaharakati wa mitandaoni Mdude Chadema ambaye aliishauri badala ya kutumia neno CCM Lema angepaswa atumie neno Samia.
Mbowe amepitia "Joto la Jiwe,".

Hapana sina maana ya mtu aliyejulikana kwa jina hilo la 'Jiwe'. Ni matukio mengi sana yaliyomkumba, hasa, hasa wakati huo wa huyo 'Jiwe', kiasi kwamba yawezekana yalivunja kabisa 'utashi' wake hata kama alikuwa hajaonyesha dalili hizo za kuvunjwa nafsi waziwazi kimwonekano.

Sasa kaingia Samia, na 'approach' tofauti kabisa na ile iliyotumiwa kumvunja nafsi Mbowe huko nyuma. Mbowe atakuwa ameathirika kwa sehemu kubwa sana.

Ukikusanya matukio yote yaliyomtokea Mbowe, toka mwanzo; halafu uyaunganishe na jinsi matukio hayo yalivyopokelewa na wananchi kiujumla.
Kujitoa kwote kule, halafu wananchi ionekane kama wao hayawahusu kabisa?
Kiongozi inatakiwa awe na uvumilivu wa kujitoa wa hali ya juu sana.
Wengi huishia kusema: watu ninaowapigania hawaoni maana, kwa nini niendelee kuumia kwa niaba yao?

Sisemi hili ndilo lililompata Mbowe, lakini uwezekano wa kujiuliza swali kama hilo upo.

Na ikumbukwe pia kwamba siyo Mbowe pekee aliyeumiwa, wapo wengi ndani ya CHADEMA waliosurubishwa. Tundu Lissu sitaki hata kumtaja, kwa sababu yeye alifikia ngazi ya kipekee kabisa, na akiamua kujitoa kupigania maslahi ya wengine kwa sababu hiyo ..., nitamwelewa? Au sitamwelewa kabisa!
 
Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
1,822
1,303
Naunga mkono kauli ya Lema, maridhiano gani huku watu bado wanavunja sheria mbele ya macho yako?
Hii ni June , 2022.
Apewe muda kidogo kuonyesha matokeo yasiyotia shaka.

Baada ya Decemba 2022; dalili haziwezi kuwa zimefichika ni kipi kinaendelea kati ya Mbowe na hao anaoshughulika nao.

Ila CHADEMA isisitishe kazi zake huko mitaani. Inatakiwa ndiko waongeze juhudi zaidi. Kuna mambo mengi sana wanayotakiwa kuwa wakiyafanya wakati huu, mbali ya mazungumzo ya Mbowe na Samia, bila ya kujali kuafikiana/kuridhiana juu ya chochote.
 
mzeewaSHY

JF-Expert Member
Aug 31, 2021
2,325
1,901
Mbowe ashajua Njia ya Violence na vitisho kamwee haitasaidiaa kituuu...!! Wameanza kukubali mchakato wa katiba mpyaaa nice move.... Mbowe asianze kutupia mawe mbwa wanaobweka pembeni aendelee kusonga mbelee! Kina mdee watatolewa tu ila Serikali haitaki kuonekana imeshurutishwa na chadema na chadema nao kelele hawaachi hawajui ndo wanazidi kuharibuu...
Umenena vyema !!
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
48,597
83,588
Nilisema muda mrefu kuwa Mbowe hakupaswa tena kuwa mwenyekiti wa CDM baada ya zoezi la Lowassa kushindwa kutangazwa urais. Au hata kama aliona aibu wakati ule, basi siku Lowassa amerejea CCM, yeye alipaswa kuachia uenyekiti. Ama kama kote huko alikuwa haamini kuwa hatoshi tena kwenye uenyekiti, basi hakupaswa kugombea tena uenyekiti uchaguzi uliopita.

Nadhani sasa watu wanaanza kuona nililoliona miaka mitano nyuma. Kiongozi yoyote mzuri hukaa madarakani sio zaidi ya miaka 10. Mbowe kavunja kanuni hii, ndio maana wafuasi wake wamekosa imani ya wazi kwake. Aliye karibu na Mbowe tafadhali amwambie wakati ukuta. CCM wanamtumia tu kupata kiki ya kisiasa kwenye uso wa dunia, lakini hawako tayari kumpa atakacho.
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
9,122
19,329
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa unaweza kumpofusha kiongozi wake huyo asione hila yoyote kutoka kwao.

Lema ameonyesha hofu hiyo kupitia Ukurasa wake wa Twitter,leo Juni 23 ambapo ameandika na kumuasa Mbowe juu ya ukaribu wake na CCM hasa wakati huu ambao sakata la wabunge 19 wa Chama hicho likiwa linazungumzwa katika mazingira tofauti.

Katika kuonyesha hofu yake hiyo kupitia Twitter Lema ameweka picha inayomuonyesha Mbowe,Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdul Rahman Kinana

Katika picha hiyo ambayo Mbowe ameweka mikono yake mbele mithili ya mtoto anayeomba msaada kwa Mzee wake Lema ameandika

"Mwenyekiti nimefanya kazi na wewe kwa muda Mrefu.Naujua moyo wako juu ya nchi,najua Nia yako.Ninakiri kuwa umejitoa kwa ajili ya Tanzania.Tunapokuwa kwenye mazungumzo ya Tanzania Bora muombe Mungu akuonyeshe hila"

Kisha akauliza swali kuwa

"Unafikiri Spika anaweza kuvunja sheria Bila baraka za CCM?"

Kauli hiyo ya Lema imebebwa kwa uzito mkubwa na wachangiaji mbali mbali ikizingatiwa kuwa ni mkosoaji na mtu mwenye maono ambayo mara kadhaa yamekuwa yakijidhihirisha.

Miongoni mwa waliomuunga Lema Mkono juu ya hofu yake hiyo ya Mwenendo wa Mwenyekiti ni pamoja na mwanaharakati wa mitandaoni Mdude Chadema ambaye aliishauri badala ya kutumia neno CCM Lema angepaswa atumie neno Samia.
Mimi nahofia juu ya uelewa wako,hapo mbona Lema anahofu na CCM na hila zao wala sio Mbowe?ndio maana kamuombea kwa Mungu ili aweze kuziona hizi hila
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

8 Reactions
Reply
Top Bottom