Kuna wakati huwa najiuliza uteuzi wa majina ya Wagombea Ubunge CCM hufanywa na Kamati kuu au Mwenyekiti?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,934
141,907
Bunge la Bajeti mwaka huu limetuonyesha uwezo wa kiakili wa Wabunge takribani wote

Swali ninalojiuliza ni Je Wagombea Ubunge wa CCM huteuliwa na Kamati kuu ya CCM au NGUVU ya Mwenyekiti ndio huamua?
 
Hili ndio Bunge kuhani mkuu KAYAFA alikitamani ili aje apewe ufalme wa milele.

Kaondoka kaacha takataka zake zinachafua nchi.
 
Back
Top Bottom