•Mgeni rasmi NI waziri mkuu kassim majaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja.
kauli mbiu:
•mkuu wa mkoa wa dar es salaam asema athari za dawa za kulevya NI kubwa,asema mkoa utaendelea kupambana na...
Kwa hali ilivo kama Taifa tunapaswa kuwa na kiongozi mwadilifu, mkweli na ambae Hana kashfa yoyote ya rushwa Wala Ufisadi,awe mkweli, mwadilifu na pia mcha Mungu kwa Sababu kama Taifa tupo nyuma...
Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni...
Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022.
Wabunge hao wameomba kibali...
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao...
Anaandika Dr.Kilangi, nguli Wa Sheria za madini na ni Director Wa SAUT Arusha centre na mhadhiri vyuo vingi vinavyofundisha Sheria za madini
............................................
Wandugu...
Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan...
Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi...
Kwa Utamaduni wa Watanzania Kifo kinaheshimika sana na kinachukuliwa kwa hofu na heshima kubwa sana,Nilishangaa sanasana kuona kuna Watu wanakamatwa kwa kusherehekea kifo cha Kiongozi wao Mkubwa...
Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia...
Unajenga mabarabara lakini mwananchi hana uwezo wa kulipa nauli na kupanda basi hata kama barabara ni nzuri. Hii haisaidii kitu. Mwananchi lazima awe na kipato cha ziada ili kuwa na uwezo mkubwa...
Tuwe wakweli katika kupambania kushika Dola Kuna vyama ambavyo Wala haviwazi malengo hayo au hata kubadili mwelekeo wa hii nchi viongozi wake wapo pale kuvitumia kama kule Kenya wanaita VIOSK vya...
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda...
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma...
Waziri wa Fedha alitangaza kuanza kutoa elimu bure na kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili hiyo.
Wakati anatangaza shule zilikuwa zimeshafunguliwa na wengi walishalipa ada na mpaka jana wanafunzi...
RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo. Jenerali Mabeyo alifika Ikulu Jijini Dar...
Nchi hii nimetafakari na kujionea bei ya bidhaa kupanda huku maisha yakiwa hohehae kwa wananchi lakini kila mwananchi wakipato cha chini anakwambia waishi hivohivo na kwamba akitokea mtu anaikosoa...
Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”
Kufanikisha dhima hiyo, Mhe...
"IMEANDIKWA KWENYE GAZETI RAIA MWEMA"
Gwiji wa mazingira na uhifadhi nchini Gerald Bigurube amempongeza Naibu Waziri mstaafu, mbunge wa zamani wa Ngorongoro, Saning' o ole Telele kuamua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.