Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Nzega vijijini Dk Hamis Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na maamuzi ya Serikali kuhamisha ujenzi wa makao makuu ya Halimashauri ya Nzega kutoka kata ya Ndalla na kupelekwa Lubisu...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza. Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC) Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha...
8 Reactions
132 Replies
6K Views
Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu...
16 Reactions
113 Replies
8K Views
Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA. Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
9 Reactions
72 Replies
5K Views
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri...
11 Reactions
138 Replies
14K Views
SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna tabia imeibuka kwa baadhi ya viongozi kuwaaminisha raia kuwa serikali imejaa malimbukeni na yeyote aliye kinyume na serikali basi ana akili kubwa na uwezo mkubwa. Hili linapelekea kupinga...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Katika Mambo yanayoitia DOSARI SERIKALI ya AWAMU ya 6 ni hili la WABUNGE 19 waliofukuzwa na CHADEMA lakini Mpaka leo Wapo BUNGENI na WANALIPWA Mishahara na Posho ambazo ni KODI za WANANCHI...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
The Globe and Mail’s accusations that Tanzania government is committing “illegal act of shocking brutality” against Maasai community living in Loliondo Game Controlled Area are baseless and unjust...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee. Jaji Warioba amesema makundi ya...
16 Reactions
62 Replies
6K Views
1. Kulipa fadhila; Teuzi nyingi sana Tanzania zimejikita hapo kwenye kilipa fadhila. 2. Kujipendekeza, Kuna baadhi ya teuzi ziko katika kujipendekeza, kwamba ngoja imteue fulani au mtoto wa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
Lack of wisdom "Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John...
37 Reactions
632 Replies
41K Views
Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Arusha kuna mambo Sana Baada ya PM kumpiga chini Mkurugenzi Wa Jiji la Arusha John Pima, kwa tuhuma za upigaji akishirikiana na Wachumi 3 na mweka hazina ambao wamehamishiwa Arusha hivi karibuni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom