Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,053
Kwa hali ilivo kama Taifa tunapaswa kuwa na kiongozi mwadilifu, mkweli na ambae Hana kashfa yoyote ya rushwa Wala Ufisadi,awe mkweli, mwadilifu na pia mcha Mungu kwa Sababu kama Taifa tupo nyuma ya muda kimaendeleo.
Wakuu bila kujali itikadi za vyama ni kiongozi yupi mwenye sifa hizo ili ailetee nchi yetu maendeleo?
Tanzania kama nchi tuna Gesi,Mafuta,mbuga za wanyama,fukwe kwa ajili ya utalii, dhahabu, almasi, mito, maziwa na bahari, ardhi safi kwa ajili ya kilimo Cha umwagiliaji lakini nchi Bado ni masikini pamoja na hizi Baraka tulizonazo.
Inaumiza Sana nchi kama Tanzania kuwa na Wananchi masikini ambao hata kula ni shida,vijana hawana ajira .Na ukiangalia kwa makini Wananchi wanatoka kwenye umasikini na kwenda kwenye level ya ufukara na hii ni hatali kwa usalama wa Taifa letu.
Umasikini na ufukara mala nyingi ndiyo huleta vulugu kwenye nchi nyingi Duniani kwa kuona wanazalauliwa na watawala wao .
Sasa ndugu zangu 2025 twende na kiongozi gani amabae atakua mwarobaini na dawa ya haya matatizo kwa Nchi yetu?
Kiongozi yupi anauwezo wa kutuletea maendeleo kwa hali iliyopo?