Habari, Tanzania kwa Mara ya kwanza ilishuhudia kupata Rais na Makamu wake wenye sifa ambazo kama zingeunganika vizuri basi katika ile miaka 5 Tanzania ingepata maendeleo ambayo ingechukua hata...
Uelewa wangu mpaka sasa ni kwamba Ngorongoro ni hifadhi na eneo la urithi wa dunia. Ni eneo lililotengwa kwa sababu ya upekee wa binadamu ambao ni Masai wanaishi na wanyamapori uku wakifanya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) ametoa rai kwa viongozi wapya wa Skauti Tanzania kuimarisha Skauti shuleni na vyuoni ili kuondokana na changamoto ya malezi na...
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya...
Zanzibar ni nchi Huru
Ni muhimu sana ipate IGP, CDF na mkurugenzi wake wa Usalama wa Taifa.
Ile ni nchi tuache mambo ya kufumbafumba.
Zanzibar ipate haki yake kwani ina Amiri eshi mkuu wake...
Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 41 ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya...
Tangu serikali ya CCM awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iingie madarakani wengi walikuwa na hofu kuhusu miradi ya kimkakati. Sasa nakufahamisha Mama kaupiga mwingi sana...
Hakika Inashangaza na Kusikitisha sana Kuona Tunaowaamini kuwa Watailinda na Kuitetea KATIBA ndio hao Wanao ichezea kwa MAKUSUDI kwa Mambo ya HOVYO.
UCHAGUZI wa Mwaka 2020 kila Mtanzania hata...
Naomba kufahamu historia kwa ufupi kuhusu maisha, elimu na kazi yake ndugu Sahili Nyanzabala ambaye ndiye kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa.
Toka nianze kumfuatilia namuona ni mzalendo sana na...
Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama...
Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni
Source ITV habari
Nauli kutoka Mwanza kwenda Bukoba au kutoka bukoba kwenda mwanza imepanda na itaanza kutumika jumatatu ya tarehe 4 July mwaka huu.
Daraja la chini ilikuwa 16000, itakuwa 21000
Daraja la Kati...
Kipindi cha Magufuli sukari tu ilipanda bei kutoka 1400 hadi 2400 chadema walipiga mayowe balaa kupinga hali hiyo.
Lakini sasa hivi wanalamba asali wako kimyaaa, Mbowe yuko bize kuhudhuria Ikulu...
Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana...
MAADUI ZETU NI WATU WAZURI,TUWAOMBEE MAISHA MAREFU.
Leo 13:15hrs 02/07/2022
Maisha yanaanza na kibao cha mgongoni mtoto analia,kila mtu anafurahi ya kwamba mtoto ni mzima,kibao baada ya kuzaliwa...
Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na...
Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa...
Tangu niwepo Tanzania na kuanza kujitambua SIJAWAHI ona Wala kusikia Mwanachama au wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wamefukuzwa uanachama wakaenda Mahakamani.
Hii imenifanya niwe na maswali...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.