LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,110
Waziri wa Fedha alitangaza kuanza kutoa elimu bure na kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili hiyo.
Wakati anatangaza shule zilikuwa zimeshafunguliwa na wengi walishalipa ada na mpaka jana wanafunzi walikuwa wanaendelea kulipa ada.
Fedha zilizopangwa katika bajeti zitatumika kwa ajili ya kitu gani?au je kuna uwezekano wazazi wakarudishiwa ada zao?