Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wamrekani na Wachina Tuwe nao makini Sana Maana ni Watawala wetu Tangu 1970s Wametuvumilia Tu Ila Ipo siku Tutaelewa Tu. Picha 1. Bagamoyo Port 10 B USD Deal 2.USA Kigamboni Mega Deal Military...
2 Reactions
1 Replies
499 Views
Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna...
16 Reactions
60 Replies
3K Views
Viongozi wa CHADEMA ni mda mwafaka Sasa kuachana na wabunge 19 kwani Kila hatua mlizozifanya katika kuwavua UANACHAMA mmeshakamilisha, kuhusu wabunge hao kukaa bungeni siyo kazi yenu Tena ni...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
Mwamba wa siasa za Tanzania, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika huko Unguja, leo amekuwa miongoni mwa viongozi wa juu wa CHADEMA waliofika Mahakamani...
15 Reactions
43 Replies
5K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi...
31 Reactions
230 Replies
28K Views
Sasa tunaongelea maridhiano, tunaongelea uponyaji wa Taifa, lakini unaliponya vipi Taifa bila kuyatambua majeraha? Kwa nini tusifuate mfano ule wa Afrika Kusini? Waliotenda makosa, walitakiwa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Clip inajieleza, tusaidiane
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli. Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya...
2 Reactions
124 Replies
13K Views
UAMUZI KESI YA LISSU KUJULIKANA LEO Mahakama kuu masijala ya Dar es Salaam inatarajiwa kutoa maamuzi kuhusu maombi ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu hapo kesho ikiwemo ombi...
27 Reactions
491 Replies
58K Views
Kwenye video hii Hayati Rais Magufuli alikemea vikali hii fukuza fukuza ya wafugaji inayofanyika sasa hivi kwa kisingizio cha kuharibu mazingira wakati kila mtu anakula nyama na maziwa na akaonya...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo. Ifahamike...
51 Reactions
237 Replies
21K Views
Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa. Hawa wanaume wanaofungua mikesi...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo...
0 Reactions
5 Replies
769 Views
. Serikali imebariki hoja yake ya kuwatambua na kuwasamehe walipakodi mahiri, huku mbunge mwenye hoja kinzani akiendeleza msisitizo wake kwamba anaona ishara ya kasoro na kashfa. ===...
1 Reactions
0 Replies
660 Views
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia. Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
KUTOKANA NA UPENDO, HURUMA YA MHE RAIS SAMIA KWA NDUGU ZETU WAMASAI WA NGORONGORO, NAPENDEKEZA KIJIJI CHA MSOMERA KIITWE SAMIA VILLAGE Fuatana Nami Joseph #Yona. 0713802226. yonapavea@gmail.com...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Back
Top Bottom