Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona.
Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa...
Huyu mwamba ni Jemedari na Mzalendo namba moja anaumwa na maendeleo ya kielimu ya Nchi hii na anaechukia ubabaishaji na shortcuts.
NECTA aliyoipokea Dr Msonde toka Kwa mtangulizi wake Pro...
Akihojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu mchakato wa katiba mpya, mtaalamu huyo wa Sheria ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kupitia ACT Wazalendo amesema kwenye utawala uliopita wa...
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya.
Uongozi ni dhamana na...
Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is...
=====
Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua...
Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
Wana JF, majuzi kabla ya Spika hajaaihirisha bunge ziliundwa kamati mbili, mojawapo ni kupitia upya mikataba mibovu ya gas. Ninakumbuka mikataba hii mibovu na ya kipuuzi ilipitishwa kwa hati ya...
*If Magufuli says that after visiting toilet, everyone must wash hands with soap........*
*What would the opposition leaders say?*
[emoji848]
*Zito-* Magufuli has taken money from the soap...
Salamu wanabodi wote.
Mimi kama mfuasi kindakindaki wa chadema nimekaa na kutafakari sana juu ya utendaji wa Rais Magufuli na serikali yake.
Kwa muda sasa nimekuwa nikipinga kila kitu...
Waziri Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na mama wa watoto pacha waliotenganishwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa na kusema...
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine
Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji...
Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo...
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha imezuia kwa muda matangazo yote ya michezo ya kubahatisha katika redio na runinga. Bodi hiyo imesema matangazo hayo yamekuwa mengi kiasi cha kuharibu taswira ya...
Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge...
TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19.
Leo 20:15hrs 06/07/2022
Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewakaribisha Watanzania, kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018, ili ziwe rafiki kwa matumizi.
Wito huo umetolewa...
TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI.
Leo 31 Julai,2021.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya...
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.