#COVID19 Tanzania trusted in God. Siku nchi ilipomuabudu Mungu wakati wa COVID-19

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19.

Leo 20:15hrs 06/07/2022

Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za Mungu wakati wa Covid 19,dunia nzima ilipotofautiana kuhusu Mungu juu ya ugonjwa wa corona,Tanzania ilisema tutamtumaini Mungu,Tanzania ikafunga siku tatu kuikemea corona,Zaburi 57:1 Unirehemu,Ee Mungu,unirehemu mimi,maana nafsi yangu imekukimbilia wewe,nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako,hadi misiba hii itakapopita,

While every other senses contradicted about God during Covid 19,Tanzania honored God,while every other nations turned against God during covid 19 by closing churches and mosques,Tanzania allowed Tanzanians to worship God, fasted for three days,and We came out stronger,licha wa wazungu kusema tutakufa kama kuku barabarani,Tanzania haikuangamia kwa kuwa rehema za Mungu hazikomi,na ni mpya kila siku asubuhi,maombolezo 3:22-23,Uaminifu wake Mungu ulikuwa ni mkuu kwetu,Mungu alikuwa fungu letu na chaguo letu wakati ule wa shida ya corona.

- Neema ya Mungu ikampata Nuhu

Mwenyezi Mungu alipoona wingi wa uovu wa binadamu duniani, na kwamba kila analokusudia binadamu moyoni mwake ni ovu daima,akasema,Mwanzo 6:7 “Nitamfuta kabisa duniani binadamu niliyemuumba; nitafutilia mbali pia wanyama wa porini, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Ninasikitika kwamba niliwaumba duniani.” Mwanzo 6:3 Hapo Mwenyezi Mungu akasema, “Roho yangu haitakaa ndani ya binadamu milele, maana yeye ni wa kufa tu. basi, hataishi zaidi ya miaka 120.” baadae Mungu alimuona Nuhu ambaye alikuwa ndiye mwadilifu pekee na ambaye hakuwa na lawama nyakati zake,Nuhu alikuwa mcha Mungu. Mwanzo 6:8 Nuhu alipata fadhili mbele ya Mwenyezi Mungu,Noah found favor in the eyes of Lord,Nuhu found grace before the Lord God,kwa sababu ya Nuhu Mungu alibadilisha mtazamo wako kuhusu mwanadamu,akamuokoa Nuhu na familia yake kutoka kwenye gharika lililoua dunia nzima,Nuhu na familia yake wakaanzisha uzao mpya duniani.

- Tanzania iliwaombea viongozi wake wenye kufanya maamuzi

Mataifa yote yatakusanyika mbele zako Mungu,kukusifu na kukuabudu, Tanzania tulifuata njia hiyo hiyo tukitimiza maandiko,tulimuomba Mungu atuokoe na corona maana sisi ni mali yake,We rightful belong to God,Even though I walk through the darkest valley, I will fear no evil, for you are with me; your rod and your staff, they comfort me (Psalm 23:4 )Zaburi 23:4 Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo, sitaogopa hatari yoyote, maana wewe ee Mwenyezi Mungu u pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanilinda.Tuliwaombea viongozi wetu waweze kufanya maamuzi ya busara kwa kila jambo kwa manufaa ya Taifa letu la Tanzania,roho wa Mungu aliwaingia viongozi wetu,hawakukataza kusali msikitini na kanisani, Watanzania waliendelea kukusanyika kumwabudu Mungu,Mathayo 18:20 kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

- Tanzania iliwaombea wenye corona,shida za kiuchumi na walioathirika na ajira
Roho mtakatifu tunaomba uwalinde watu wanapokutana na upya katika maisha ambayo ghafla yamebadilika,hakuna kuzikana tena,watu wanaogopa kuzika wenzao,watu wananyanyapaa wenzao wenye corona,hakuna tena shughuli za pamoja za kijamii,Mungu ongea neno la faraja kwa kila mmoja wetu,Mungu ukawe faraja kwa kila mmoja aliyepata msiba wa mpendwa wake kutwaliwa,Mungu ukarudishe tena hali ya kawaida duniani,kama ulivyomuonea huruma rutu sababu ya Ibrahim,nasi ukatuinee huruma,kama Nuhu alivyopata neema mbele zako nasi tukapane neema mbele zako,ukatulinde na kutuokoa na gonjwa hili la corona,watu wanasema tutakufa kama kuku barabarani,Mungu tunatengua maneno hayo,Mungu tunatengua manuizo hayo katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth,Amen.

-Shukrani kwa Hayati Rais John Magufuli.

Rais John Magufuli hakujali dunia inasemaje,hakusikiliza source of information zinasemaje,yeye aliisikiliza sauti ya moyoni mwake inasemaje,sauti ilimwambia Tanzania ifunge siku tatu itubu na kuomba rehema za Mungu na itaokolewa kutoka kwenye Corona,kwa hakika tuliokolewa pakubwa, 2 Samweli 6:21 Daudi akamwambia Mikali,ilikuwa mbele za Bwana,aliyenichagua mimi juu ya baba yako,na juu ya nyumba yake,ili kuniweka niwe mkuu juu ya watu wa Bwana, juu ya Israeli, kwa hiyo mimi nitamsifu na nitacheza mbele za Bwana,zaburi 20:1-5 Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde,akupelekee msaada kutoka hekaluni mwake; akutegemeze kutoka mlima Siyoni,azikumbuke sadaka zako zote,azikubali tambiko zako za kuteketezwa,akujalie unayotamani moyoni mwako,aifanikishe mipango yako yote,tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako,tutatweka bendera kulitukuza jina la Mungu wetu.Mwenyezi-Mungu akutimizie maombi yako yote!

- Kumuabudu Mungu kwa roho na kweli

Daudi alikuwa ni Mfalme wa Israel, mtu mwenye nguvu kubwa,mtu maarufu duniani kwa wakati ule,alimuabudu na kumtukuza Mungu kwa roho na kweli, kwa nini isiwe kwa Rais John Magufuli,2 Samweli 6:14 Daudi akacheza mbele za Bwana kwa nguvu zake zote; na Daudi alikuwa amevaa naivera ya kitani.Mfalme Daudi baba yake Mfalme Suleiman kumtukuza Mungu ni uthubutu kwetu sisi,usione aibu kumuabudu Mungu na kumuomba Mungu kwa maana yeye ni kimbilio letu wakati wa shida, tuna wajibu wa kumkiri Mungu tukiwa tuna kitu na tukiwa hatuna kitu,tukiwa raia wa kawaida au Rais wa nchi, jambo hili ndilo tulilobakiza.

Nimalizie kwa sifa kwa Mungu wangu wa Ibrahim,Isaac na Jacob,Ee Bwana,uyasikie maombi yangu,uisikilize sauti ya dua zangu,siku ya mateso yangu nitakuita, kwa maana utaniitikia,katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana, wala matendo mfano wa matendo yako, mataifa yote uliyoyaumba watakuja, watakusujudia Wewe, Bwana, watalitukuza jina lako,kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, ndiwe Mungu peke yako, nitalitukuza jina lako milele.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
IMG_0285.jpg
 
TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19.

Leo 20:15hrs 06/07/2022

Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za Mungu wakati wa Covid 19,dunia nzima ilipotofautiana kuhusu Mungu juu ya ugonjwa wa corona,Tanzania ilisema tutamtumaini Mungu,Tanzania ikafunga siku tatu kuikemea corona,Zaburi 57:1 Unirehemu,Ee Mungu,unirehemu mimi,maana nafsi yangu imekukimbilia wewe,nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako,hadi misiba hii itakapopita,

While every other senses contradicted about God during Covid 19,Tanzania honored God,while every other nations turned against God during covid 19 by closing churches and mosques,Tanzania allowed Tanzanians to worship God, fasted for three days,and We came out stronger,licha wa wazungu kusema tutakufa kama kuku barabarani,Tanzania haikuangamia kwa kuwa rehema za Mungu hazikomi,na ni mpya kila siku asubuhi,maombolezo 3:22-23,Uaminifu wake Mungu ulikuwa ni mkuu kwetu,Mungu alikuwa fungu letu na chaguo letu wakati ule wa shida ya corona.

-Neema ya Mungu ikampata Nuhu.

Mwenyezi Mungu alipoona wingi wa uovu wa binadamu duniani, na kwamba kila analokusudia binadamu moyoni mwake ni ovu daima,akasema,Mwanzo 6:7 “Nitamfuta kabisa duniani binadamu niliyemuumba; nitafutilia mbali pia wanyama wa porini, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Ninasikitika kwamba niliwaumba duniani.” Mwanzo 6:3 Hapo Mwenyezi Mungu akasema, “Roho yangu haitakaa ndani ya binadamu milele, maana yeye ni wa kufa tu. basi, hataishi zaidi ya miaka 120.” baadae Mungu alimuona Nuhu ambaye alikuwa ndiye mwadilifu pekee na ambaye hakuwa na lawama nyakati zake,Nuhu alikuwa mcha Mungu. Mwanzo 6:8 Nuhu alipata fadhili mbele ya Mwenyezi Mungu,Noah found favor in the eyes of Lord,Nuhu found grace before the Lord God,kwa sababu ya Nuhu Mungu alibadilisha mtazamo wako kuhusu mwanadamu,akamuokoa Nuhu na familia yake kutoka kwenye gharika lililoua dunia nzima,Nuhu na familia yake wakaanzisha uzao mpya duniani.

-Tanzania iliwaombea viongozi wake wenye kufanya maamuzi.

Mataifa yote yatakusanyika mbele zako Mungu,kukusifu na kukuabudu, Tanzania tulifuata njia hiyo hiyo tukitimiza maandiko,tulimuomba Mungu atuokoe na corona maana sisi ni mali yake,We rightful belong to God,Even though I walk through the darkest valley, I will fear no evil, for you are with me; your rod and your staff, they comfort me (Psalm 23:4 )Zaburi 23:4 Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo, sitaogopa hatari yoyote, maana wewe ee Mwenyezi Mungu u pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanilinda.Tuliwaombea viongozi wetu waweze kufanya maamuzi ya busara kwa kila jambo kwa manufaa ya Taifa letu la Tanzania,roho wa Mungu aliwaingia viongozi wetu,hawakukataza kusali msikitini na kanisani, Watanzania waliendelea kukusanyika kumwabudu Mungu,Mathayo 18:20 kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

-Tanzania iliwaombea wenye corona,shida za kiuchumi na walioathirika na ajira.

Roho mtakatifu tunaomba uwalinde watu wanapokutana na upya katika maisha ambayo ghafla yamebadilika,hakuna kuzikana tena,watu wanaogopa kuzika wenzao,watu wananyanyapaa wenzao wenye corona,hakuna tena shughuli za pamoja za kijamii,Mungu ongea neno la faraja kwa kila mmoja wetu,Mungu ukawe faraja kwa kila mmoja aliyepata msiba wa mpendwa wake kutwaliwa,Mungu ukarudishe tena hali ya kawaida duniani,kama ulivyomuonea huruma rutu sababu ya Ibrahim,nasi ukatuinee huruma,kama Nuhu alivyopata neema mbele zako nasi tukapane neema mbele zako,ukatulinde na kutuokoa na gonjwa hili la corona,watu wanasema tutakufa kama kuku barabarani,Mungu tunatengua maneno hayo,Mungu tunatengua manuizo hayo katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth,Amen.

-Shukrani kwa Hayati Rais John Magufuli.

Rais John Magufuli hakujali dunia inasemaje,hakusikiliza source of information zinasemaje,yeye aliisikiliza sauti ya moyoni mwake inasemaje,sauti ilimwambia Tanzania ifunge siku tatu itubu na kuomba rehema za Mungu na itaokolewa kutoka kwenye Corona,kwa hakika tuliokolewa pakubwa,2 Samweli 6:21 Daudi akamwambia Mikali,ilikuwa mbele za Bwana,aliyenichagua mimi juu ya baba yako,na juu ya nyumba yake,ili kuniweka niwe mkuu juu ya watu wa Bwana,juu ya Israeli,kwa hiyo mimi nitamsifu na nitacheza mbele za Bwana,zaburi 20:1-5 Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde,akupelekee msaada kutoka hekaluni mwake; akutegemeze kutoka mlima Siyoni,azikumbuke sadaka zako zote,azikubali tambiko zako za kuteketezwa,akujalie unayotamani moyoni mwako,aifanikishe mipango yako yote,tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako,tutatweka bendera kulitukuza jina la Mungu wetu.Mwenyezi-Mungu akutimizie maombi yako yote!

-Kumuabudu Mungu kwa roho na kweli.

Daudi alikuwa ni Mfalme wa Israel,mtu mwenye nguvu kubwa,mtu maarufu duniani kwa wakati ule,alimuabudu na kumtukuza Mungu kwa roho na kweli,kwa nini isiwe kwa Rais John Magufuli,2 Samweli 6:14 Daudi akacheza mbele za Bwana kwa nguvu zake zote; na Daudi alikuwa amevaa naivera ya kitani.Mfalme Daudi baba yake Mfalme Suleiman kumtukuza Mungu,ni uthubutu kwetu sisi,usione aibu kumuabudu Mungu na kumuomba Mungu kwa maana yeye ni kimbilio letu wakati wa shida,tuna wajibu wa kumkiri Mungu tukiwa tuna kitu na tukiwa hatuna kitu,tukiwa raia wa kawaida au Rais wa nchi,jambo hili ndilo tulilobakiza.

Nimalizie kwa sifa kwa Mungu wangu wa Ibrahim,Isaac na Jacob,Ee Bwana,uyasikie maombi yangu,uisikilize sauti ya dua zangu,siku ya mateso yangu nitakuita,kwa maana utaniitikia,katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana,wala matendo mfano wa matendo yako,mataifa yote uliyoyaumba watakuja,watakusujudia Wewe, Bwana,watalitukuza jina lako,kwa kuwa ndiwe uliye mkuu,Wewe ndiwe mfanya miujiza,ndiwe Mungu peke yako,nitalitukuza jina lako milele.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Nimefanyika kuwa Bwana na nimehesabiwa haki.
 
Hakuna mstari unaosema Mungu aliinusuru Sodoma na Gomora kwa sababu ya mtu mmoja.

Mwanzo 18:24-32.Ni maombi ya Ibrahim kwa Mungu kuinusuru miji ya Sodoma na Gomora.

Ibrahim aliishia kwa kuomba angalau wakiwepo kumi tu Mwanzo 18:32. Na hao kumi hawakuwepo Sodoma na Gomora.

Ukiamua kumsifu mtu jiepushe kupotosha kwa kutumia neno la Mungu.

Kuna namna nyingi unaweza kuzitumia nje ya dini
 
Jenerali Uimwengu aliiponda sana hii dhana ya kumtegemea Mungu wakati janga la Covid19 limeua mapadre zaidi ya 100 pale pale Roma makao makuu ya ukatoliki.

Aliponda sana hili wazo ukiweka kichwani ukweli kuwa mpaka leo wakatoliki hatupeani amani kwa kushikana mikono kama zamani bali tunainamiana na kukunja mikono bila ya kugusana kwa sababu ugonjwa umeondoka na nguvu kazi kubwa sana kwa maana ya mapadre, maaskofu na masista.
 
Back
Top Bottom