Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo.

Wakili msomi amesema Sabaya amesafirishwa bila remove order wala mawakili wake kujulishwa, kitendo ambacho kinaliweka hatarini gereza la Kisongo iwapo Sabaya atatokewa na kitu chochote kibaya huko Moshi.

Luka 6:45​

"Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema,
na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu;
kwa kuwa mtu kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake."
Hata ukiitumia biblical verses,jamaa yenu,mwanaCCM mwenzenu ana tabia mbaya.Muacheni aonje moto akiwa duniani.

Luka 6:45​

"Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema,
na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu;
kwa kuwa mtu kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake."
Hata ukiitumia biblical verses haisaidii kwa muovu yule.Muacheni apate moto ili iwe fundisho kwa mijinga kama yeye.Tofauti yetu ni itikadi tu lakini sote ni Watanzania.Kwa nini uwaumize wenzio?Kama nimekuudhi nisamehe.
 
Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo.

Wakili msomi amesema Sabaya amesafirishwa bila remove order wala mawakili wake kujulishwa, kitendo ambacho kinaliweka hatarini gereza la Kisongo iwapo Sabaya atatokewa na kitu chochote kibaya huko Moshi.

Huyu Mungu huyu namtafakari kwa kina sana...
 
Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo.

Wakili msomi amesema Sabaya amesafirishwa bila remove order wala mawakili wake kujulishwa, kitendo ambacho kinaliweka hatarini gereza la Kisongo iwapo Sabaya atatokewa na kitu chochote kibaya huko Moshi.

gereza la kisongo linakuwaje hatarini, ikiwa magereza yote ni ya serikali. na anayemshtaki ni serikali. Au wakili anawaza kimarekani ambapo taasisi binafsi zinamiliki magereza?
 
Hivi huyu dogo Sabaya umri miaka 34 tu ilikuaje akijiingiza katika kuua na kuteka na kubaka it pain Mama Suluhu huyo dogo hakikisha unadili naye kinaga ubaga maana alijisahau huyo dogo.
Ulibakwa na Sabaya mara ngapi?
 
Back
Top Bottom