Mdee na wenzake, hawawezi amriwa na Mahakama warudishe mishahara na posho walizolipawa pasipo kustahili wakishindwa kesi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,064
144,498
Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge walizolipwa pasipo kustahili?
 
Ngoja kesi iwaone hawastahili kuwa wabunge.
Hapo wata juwa hawajui..
 
yaani kwenye hii kesi mwenye hasara namba moja ni serikali kwa kulipa watu wasio halali,
mnufaika ni covid 19,
ila cha ajabu mlalamikaji ni chadema😁😁.

serikali ambayo ndiye anayepata hasara hashtuki na zaidi ni kama anaweka kikwapa,ila jamaa zangu wamekomaa kama wana visa na hao wanamama.

UJINGA TU.
 
ila cha ajabu mlalamikaji ni chadema.

serikali ambayo ndiye anayepata hasara hashtuki na zaidi ni kama anaweka kikwapa,ila jamaa zangu wamekomaa kama wana visa na hao wanamama.

UJINGA TU.
Umesahau kuwa, japo serikali ambaye ni mimi na wewe na ambaye ndiye anapata hasara kubwa kwa uwepo wa hawa covid19 bungeni lakini bado ndiye huyo huyo anawatetea na hata nadhan kawafinance hao covid ili kuweka mawakili.
...maajabu ya dunia
 
Ina mwisho wake ila watakuja kuzirudisha kama sio leo, ama kesho lakini itakuja siku.
 
yaani kwenye hii kesi mwenye hasara namba moja ni serikali kwa kulipa watu wasio halali,
mnufaika ni covid 19,
ila cha ajabu mlalamikaji ni chadema😁😁.

serikali ambayo ndiye anayepata hasara hashtuki na zaidi ni kama anaweka kikwapa,ila jamaa zangu wamekomaa kama wana visa na hao wanamama.

UJINGA TU.
Chadema inaumia kwasababu hawa mal@ya wananajisi katiba kupitia mgongo wake na jina lake hivi wewe utafurahi jitu likiiba bank kwakutumia jina lako? Hutaumia kisa huwalipi wewe hawakuibii wewe? Ila vipi kuhusu jina na saini yako kutumika kughushi nyaraka? Chadema wako sahihi.
 
Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge walizolipwa pasipo kustahili?
Kiendacho kwa wapambe wa chama chawala huwa hakirudi
 
Chadema inaumia kwasababu hawa mal@ya wananajisi katiba kupitia mgongo wake na jina lake hivi wewe utafurahi jitu likiiba bank kwakutumia jina lako? Hutaumia kisa huwalipi wewe hawakuibii wewe? Ila vipi kuhusu jina na saini yako kutumika kughushi nyaraka? Chadema wako sahihi.
wivu wa kike tu.
 
Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge walizolipwa pasipo kustahili?
Hawawezi kurudisha kwa vile walilipwa kwa kazi halali waliyokuwa wakifanya wakati huo. Ila wakishindwa kesi, basi mishahara yao itaishia siku ambayo spika atatangaza kuwa viti vyao viko wazi. Spika akichelewa kuanzanga hilo kwa mwezi basi bado watalipwa katika mwezi huo kwa vile bado watakuwa wako kazini.
 
Amen. Ili iwe fundisho kwa wenye tamaa za kishetani.
 
Hawawezi kurudisha kwa vile walilipwa kwa kazi halali waliyokuwa wakifanya wakati huo. Ila wakishindwa kesi, basi mishahara yao itaishia siku ambayo spika atatangaza kuwa viti vyao viko wazi. Spika akichelewa kuanzanga hilo kwa mwezi basi bado watalipwa katika mwezi huo kwa vile bado watakuwa wako kazini.
Kama alivyoendelea kulipwa Cecil Mwambe baada ya kujivua uanachama mwenyewe? Kuna mengi ya kuyafukua kabla hatujaelewana.
 
Back
Top Bottom