Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

..Msikilizeni ktk mahojiano haya.


Huo ndio ukweli, CCM haijawahi kushinda ila hulazimisha kushinda. Uchaguzi uliopita walilazimisha kuwe na chaguzi mbili, moja ni ya kura za CCM tu ambazo zilitokana na askari kutengewa siku yao ya kupiga kura, hata hivyo hazikutosha zilipochanganywa na za wananchi zote na kulazimisha kurudia uchaguzi!
 
Hakuna Chama cha upinzani kinaweza kuaminika kuongoza nchi hii. Haviwezi kulinda Tunu za Taifa na misingi ya nchi iliyoachwa na Mwalimu Nyerere. 🙏🙏🙏
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom