Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya Mhe. Rais Samia kuondoka kuelekea Dakar Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa)"

1657088917027.png

1657088871919.png

Hii ni ziara ya 17 tangu aingie madarakani March 2021 kujua ziara nyingine soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Mar 2021
 
Samia tembea kwa kadiri utakavyoona inafaa hii nchi Nyerere alishaharibu vichwa vya watu kwa siasa zake mbovu za kijamaa. Nchi gani machawa ndo wanaonekana prominent kwa jamii kuliko wasomi? Mtanzania anaguswa na habari za Manara kuliko mfumuko wa bei.
 
Mwache akatafute hela jamni. Maisha yazidi kuneemeka si mnaona sasahivi life lilivyo "simple"? Nchi inafunguliwa, bei ya mafuta ni sawa na bure, umeme ndo usiseme na miradi ya kimkakati iliyoachwa na mwendazake yote imekamilika , vijana wetu wameeajiriwa, machinga wanafanya biashara zao vizuri tu hadi wanafanya graduation AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU?
 
Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya Mhe. Rais Samia kuondoka kuelekea Dakar Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa)"

View attachment 2282245

View attachment 2282244
Sasa hivi ni mwendo wa kuwahi tu,ni paaa yuko Senegal...
 
Samia tembea kwa kadiri utakavyoona inafaa hii nchi Nyerere alishaharibu vichwa vya watu kwa siasa zake mbovu za kijamaa. Nchi gani machawa ndo wanaonekana prominent kwa jamii kuliko wasomi? Mtqnzania anaguswa na habari za Manara kuliko mfumuko wa bei.
Naungana na ww kwa hili, ikibidi ahamie huko kabisa Kama raisi wa Cameroon geofrey biya

Ila pia usimlaumu nyerere tu huu ujinga wa wananchi upo nchi nyingi za africa. angalia kinachotokea cameroon, hata Nigeria.
 
Back
Top Bottom