Historia inaonyesha Demokrasia kitovu chake ni Ugiriki ambapo karne ya 5 binadamu wa huko waliibuka taratibu na wazo la maamuzi ya serikali na uongozi unaotokana na ridhaa ya watu wengi badala ya...
Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo.
Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa...
WAKAZI wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wamejikuta wakizilaumu nafsi zao na kujutia kumchagua Mbunge wa jimbo hilo, Angelina Mabula kutokana na kile walichodai ameshindwa kutatua kero...
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao...
Akizungumza na Wanahabari leo Mkoani Dodoma , RPC wa eneo hilo alidai kwamba , kiongozi wa Bavicha Twaha Mwaipaya alikamatwa kwa makosa ya Mtandao yaliyosababisha Taharuki kwa wananchi .
Mtukufu...
Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo...
Nawasalimu waungwana wa JF,
Kama ilivyo ada yangu, nianze kwa kutamka kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha kisiasa hapa Tanzania au kwingineko. Daima, nimekuwa nikijenga hoja; kukosoa...
Waingereza wameonyesha umakini wa kulinda na kuimarisha maendeleo na ustawi wa taifa lako. Hawako tayari kukaa na kiongozi mbovu bila kujali itikadi za vyama.
Tanzania tumekuwa na utamaduni wa...
Leonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji...
Mjadala ndio imeanza na pale ukumbimi panaonekana pamesheheni Bavicha wengi na vijana wa CUF
Tutapashana yaliyojiri baada ya kipindi kumalizika hapo ITV
Karibu
Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos.
Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo...
Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba.
Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu...
Ni kweli kwenye chaguzi hizi hatuna nafasi maalum za upendeleo kwa vijana , lakini binafsi ningependa vijana wajitokeze kushiriki zaidi katika hatua zote za uchaguzi . Ninaamini vijana wana uwezo...
Kwanza kabla ya yote ni tangulie na maneno. Haya
Marko 6: 4 Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake mwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani mwake.
wakutane na maneno...
Hali ya ndani ya mahakama kuu Divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na Rushwa ni shwari
Leo tumepita getini bila bugudha na hakuna polisi wa nje zaidi ya hawa maalum wa mahakama
Hakika Jambo la...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuongeza ukuwaji wa uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei kati ya 3% - 5% kwa 2022, licha ya kuwa na matatizo mengi nje ya nchi kama vita vya Ukraine na Urusi na...
Serikali iko ktk mchakato wa anuani za makazi kwa mitaa yote nchi nzima.Mitaa hiyo kuna vibao vyenye majina ya mitaa na namba za kila nyumba kilichojitokeza ni wenye nyumba kudaiwa pesa kwa ajili...
Ukiangalia maslahi mapana ya taifa pamoja na hadhi ya Bunge letu tukufu utaona ni Afadhali Halina Mdee na wenzake wakabaki tu bungeni
Nje ya hapo Imani ya Wananchi kwa bunge lao na kwa Tume ya...
Kutokana na Uamuzi wa MAHAKAMA kukubali Ombi la Halima na Genge lake KUFUNGUA kesi ya Kupinga KUFUKUZWA CHADEMA ili Kulinda UBUNGE wao FAKE ni Dhahiri CHADEMA ndicho walichokuwa WANAKITAKA ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.