Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems...
6 Reactions
8 Replies
833 Views
Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimekuwa Naufuatilia Mjadala wa Wabunge 19 WALIO HASI Chama chao CHADEMA na Kuapishwa na Kuwa WABUNGE VITI Maalum Bila Baraka za Chama chao na Kupelekea KUFUKUZWA UANACHAMA. Pamoja na Kufukuzwa...
2 Reactions
5 Replies
896 Views
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira. Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni...
14 Reactions
74 Replies
9K Views
Maono tarajiwa kutokana na uwekezaji wa Indonesia katika visiwa vya Zanzibar. Tunaweza kusema kuwa neema yaenda kushuka katika Zanzibar, kwa maana Indonesia ina visiwa takriban elfu 17, vyenye...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania avoided a recession in 2020, but the COVID-19 pandemic has significantly impacted lives and livelihoods across the country. The emergency of the COVID-19 novel coronavirus plunged the...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kauli yako Rais Samia uliyoitoa wakati ukitetea au kujibu malalamiko kuhusu utitiri wa safari zako nje ya nchi. Umetuthibitishia wapiga kura tunaohoji kwamba unatuchukulia kuwa wenye akili...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022. Mwanasheria Mkuu wa Serikali na...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote. Napenda nikuambie kwamba hili...
9 Reactions
81 Replies
4K Views
Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani. Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi...
6 Reactions
85 Replies
4K Views
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa. Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti...
16 Reactions
135 Replies
11K Views
Inaeleweka wazi baada ya Maridhiano Chadema watapokea mabilioni ya ruzuku waliyosusia kwa miaka miwili sasa. Nawashauri makamanda wa Ufipa st huu ndio wakati wa kujenga Jengo la kisasa la Makao...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Vyama vyote vya kibepari duniani ni tajiri isipokuwa CHADEMA Chadema hupitisha kikapo cha sadaka kwenye mikutano yao ya hadhara Kwa sass CCM ndio chama cha Matajiri, sielewagi Kwanini Mungu...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Hii ndio Taarifa mpya kutokana na Sakata la Ngorongoro , ambapo Serikali leo imeamua kuwafungulia Kesi ya mauaji wahanga hao waliogoma kuhama kwa hiyari. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wamasai...
16 Reactions
144 Replies
10K Views
Wadau baada ya Bunge la Bajeti kumaliza tufanye tathmini ya utendaji kazi wa Mawaziri wetu ni mawaziri gani wamevunja rekodi ya utendaji kazi katika kipindi hiki. Tuweke orodha yao
0 Reactions
11 Replies
846 Views
Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wana mahitaji mbalimbali, hivyo kupitia sensa itakuwa sehemu sahihi ya kushughulikiwa changamoto zao, baada ya kukamilika kwa utaratibu huo. Kitendo cha...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA)...
11 Reactions
139 Replies
9K Views
Mwanadiplomasia Bernard Membe ameshauri serikali kukuza kiswahili ili kiweze kuwa lugha inayotumika Afrika, kwa kuwa ushahidi upo kuwa lugha ya kiswahili inaweza kutumika bara zima. Amesema...
0 Reactions
3 Replies
764 Views
Back
Top Bottom