Wakushi na matowashi wa kisiasa

Wakushi na matowashi wa kisiasa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine

Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi

1475039459250.jpg

Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi

1475039634938.jpg

1475039647428.jpg

Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?

Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi!

Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni

Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa

Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83]
 
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine
Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi View attachment 408106
Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi View attachment 408108View attachment 408109Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?
Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi! Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa
Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
We noma .........
 
Tatizo la kuzalisha na kulea wakushi na matoashi ktk siasa za tanzania linaanzia ktk vyama vyenyewe vya siasa!
..mwanamume,"nyangindo, nagwa", ktk siasa ni yule aliye huru, "kitafakari", kuanzia ndani ya chama! Haburuzwi! Mchango wake unasikilizwa na unathaminiwa!, hata kama haukubaliki!
....Comrade Mshana Jr, siasa za zama hizi ktk nchi yetu, zimetuletea zama za sodoma na gomora kisiasa, vijana wafuasi, wa wanasiasa wako mduarani, wakiingiana, na wakiingiziwa..!
...lkn kwa wachache, tuko ktk njia ya wokovu!
...tunautizama mchezo kwa kutokea nje ya mduara!
Tumenusurika!
 
"mkush" ??? mbna kama hawa ni robo tatu ya nchi hawana nongwa wao upepo kus wapo kus upepo kas nao wamo makof wanapiga haya vilio nao wanalia hawa wanatia hasira sana mara nyingine unaweza kuchukua maamuz magumu zidi yake
 
Umeandika vizuri sana.... Lakini acha kutumia emoji, inafanya post yako ionekane ya kitoto wakati umetema facts
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kachumbari na ndimu ni tamu unapata kauchachu fulani hivi very amazing lakini ukiongeza na pilipili kidogo Ladha hubadilika na kutamani zaidi
 
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine
Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji wa bangi yani kwao bangi ni sehemu ya utamaduni wao mila na hata desturi! Kama wewe sio mkush usilazimishe wala usikubali kulazimishwa kuwa Mkushi View attachment 408106
Towashi ni aina ya wanaume wasio na nguvu za kiume kabisa na wengine hawana uume kabisa
Kuna matowashi kwa kuzaliwa
Kuna matowashi wa kutengeneza(unakatwa uume)
Na kuna matowashi wa uamuzi binafsi View attachment 408108View attachment 408109Siasa za Tanzania zimeingia kwenye duru mpya! Tunaunda kitu cha ajabu kweli kitu cha kuchekesha kitu cha kipuuzi hasa...kitu ambacho hata dunia nzima itatushangaa kama bado haitushangai
Tunajaribu kuua upinzani kwa gharama kubwa sana lakini kwa mbinu za kitoto kijinga na kipumbavu kabisa najiuliza tu hao Wapangaji wa hizo mbinu zinawa tosha kweli?
Unaua upinzani ili iweje? Mnajiandalia utawala wa milele? Kwa mbinu hizi?[emoji22] [emoji35] [emoji102] ?
Tunafisha na kuua ndoto nyingi za wanasiasa vijana wenye maono ya kuja kufanya mengi hapo mbeleni...tunachokiandaa ni matowashi wa kisiasa! Wanasiasa jina wanasiasa mavazi! Kama ilivyo kwa matowashi halisi ni wanaume suruali wanaume sura lakini wasioweza kufanya chochote
Tunachokiandaa ni wanasiasa Wakushi wa kutengeneza! Wanachojua ni moshi , wape moshi na wakishapata stimu watafanya utakavyo wewe....utawapeleka utakavyo! Malengo yako yatatimia utapata unachokitaka lakini kumbuka na madhara pia utakayoacha nyuma na huko mbeleni
Kuna umuhimu mkubwa wa kujitafakari upya fanyeni vitu huku mkikumbuka kuna kesho na taifa linahitaji nguvu ya kila mmoja wetu..vitu vya kupita kama madaraka ya kisiasa yasiwatoe ufahamu kiasi hiki mkatumia mabilioni kuua upinzani huku tukiwa na vipaumbele muhimu kabisa
Tengeneni Wakushi na matowashi lakini kumbekeni msiba huu ni wetu sote na tanga tutalianua wote hata kabla ya kulala[emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84] [emoji35] [emoji83] [emoji84]
Vitu vyako ni hadimu sana
 
nacho kiona nikuzidi kukubaliana na wale wote waliosema ccm imekufa na aliestahili mazishi na kuanua matanga ya msiba ule ni Ndugu J.M.K kuficha aibu kaamua kuhamishia msiba kwa mwenzie ambae anatumia nguvu nyingi sana kufanya postmortem,anawalaumu madaktari ana walaumu wauguzi wakati waliompa sumu marehemu,walitumia hela ya EPA,MEremeta,Escrow,Lugumi and Infosy,Rada, nk leo majirani wanao kupa ukweli unawaona wachawi na walisha kutaarifu hapo kabla..
kinachoendelea kufanyika ni muendelezo uleule wa ubaguzi wa kiitikadi,kidini na kikabila na tukisimama majukwaani kuhubiri mshikamano ulioshindwa kuwashikamanisha wanaccm wa bara na visiwani
 
mi nashauri kitu kimoja kwanza tudai ile rasimu ya warioba tukishapewa tuongeze hiki kipengele kiongozi wa kupatikana kwa tiketi ya mavyama awe rais tu wengine wote waombe kazi kulingana na utaalamu na uzoefu wao hata wapunge wapatikane kwa njia hiyo hapa kina bajaji,nepi,makondoo,february, chemba hawatapata hata ujumbe wa nyumba kum
 
nachoi kiona nikuzidi kukubaliana na wale wote waliosema ccm imekufa na aliestahili mazishi na kuanua matanga ya msiba ule ni Ndugu J.M.K kuficha aibu kaamua kuhamishia msiba kwa mwenzie ambae anatumia nguvu nyingi sana kufanya postmortem,anawalaumu madaktari ana walaumu wauguzi wakati waliompa sumu marehemu,walitumia hela ya EPA,MEremeta,Escrow,Lugumi and Infosy,Rada, nk leo majirani wanao kupa ukweli unawaona wachawi na walisha kutaarifu hapo kabla..
kinachoendelea kufanyika ni muendelezo uleule wa ubaguzi wa kiitikadi,kidini na kikabila na tukisimama majuya majukwaa kuhubiri mshikamano uliowashindwa kuwashikamanisha wanaccm wa bara na visiwani
qwi! qwi! qwi!
 
Back
Top Bottom