Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Ningependa kujua wasifu mdogo wa Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonesha kuwa pale Mahakamani katika kesi ya Katiba.

Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio mwanasheria. Nasikia pia alishakuwa mwakilishi wa Tanzania makao makuu ya umoja wa vijana huko Algeria, pia ni mmoja wa vijana waliolelewa na umoja wa vijana wa Tanu na ni muumini mkubwa wa sera za Mwalimu Nyerere ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.

----- Michango kutoka kwa WanaJF-----

ulimwengu.jpg

JENERALI ULIMWENGU was born on 4th April 1948 in Ngara, Kagera Region of Tanzania.

He went to school in Kamachumu, Katoke and Nyakato in Kagera and high school in Tabora from 1955 to 1968 and was a student of the then University of East Africa from 1969 to 1972.

As a post-Arusha Declaration student at the premier academic and activist University, Ulimwengu was one of the activist radical students espousing progressive causes of African liberation and human emancipation.

After leaving the University, he became an active member of the ruling party, then TANU (Tanganyika Afican National Union) and later CCM ('Chama cha Mapinduzi') as the following brief profile of his post-student service shows.
 
Twaha Ulimwengu ni bidha adimu,na itachukua karne mmoja kupata mtu sampuli hii.Hataki quick fix,ila anataka binadamu ajitambue kabla ya kufungua mdomo auganishe ubongo wake kwaza,mimi siyo Mark Antony ila ujumbe umefika.
 
Twaha Ulimwenge ni bidha adimu,na itachukua kalne mmoja kupata mtu sampuli hii.Hataki quick fix,ila anataka binadamu ajitambue kabla ya kufungua mdomo auganishe ubongo wake kwaza,mimi siyo Mark Antony ila ujumbe umefika.
Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzu
 
Ni Mnyarwanda na alinyang'anywa uraia wa Tanzania yeye na akina Balozi Bandora, Castico, nk. Nadhani hakurudishiwa na kwa sasa anafanya kazi kama mgeni.

Ni mwandishi wa Habari na pia miaka kama mitatu nyuma alitunukiwa u advocate. Amewahi kuwa TYL na akawa mwakilishi wa Tanzania kule Algiers.

Amewahi kuwa Mbunge wa kuteuliwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati ule wa kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa.

Wakati vyama vingi vinaanzishwa kulikuwa na sheria kwamba ukitaka kufanya maandamano ama mikutano unaomba kibali kwa mkuu wa wilaya. Basi huyu bwana alikuwa hana hiyana ya kutoa vibali kwa vyama.

Akahamishwa kupelekwa Singida kama mkuu wa Wilaya. Kama sijasahu hakwenda Singida badala yake akajiuzulu ukuu wa Wilaya.

Huyo ndiye Generali Twaha Ulimwengu.
 
Acha roho mbaya. Jenerali Ulimwengu ni Mtanzania. Hajawahi shiriki udharimu unaotaka kutuaminisha hapa. Unamsingizia mabaya kwa sababu ya misimamo yake ya kutopindisha lugha, akisimama kutoa hoja wenye akili huwa tunatulia kupata madini ghafi. Ana fikra huru, haishi kwenye kibuyu, haelekezwi cha kuandika. Ni msomi mwenye mawazo huru sio mtumwa wa mtu
 
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.
 
Kuna kitu kimoja hapo wamekosea kidogo. Ulimwengu na wenzake walipojiunga kuanzisha gazeti walianza na gazeti la Dimba. Hapo naongelea akina Rweyemamu, Shoo, Mbwambo, John Rutayisingwa, nk. Baada ya Dimba ndio wakaongeza gazeti la Rai. Hivyo hawakuanza na Rai bali Dimba na Rai likafuata baadaye. Nakumbuka sana hadithi za John Rutayisingwa (RIP) hasa kuhusu Jamhuri ya Kufikirika ya Mukunyu. Alikuwa akitumia Jamhuri ya Mukunyu kuipiga vijembe serikali ya Tanzania.
 
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.
Ni Mtanzania, kama hutaki nyamaza au acha. Kwanini unamsingizia mabaya ambayo hajawahi tenda? Angekuwa ameshiriki basi Ocampo angekula naye sahani moja. Acheni kupaka matope watu, kisa wao kukubalikA na kusikilizwa na watu, please, acheni roho mbaya
 
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.

Mkuu, suala ni je ni kweli Ulimwengu hakuwa raia wa Tanzania, kama serikali ilivyotaka kutuaminisha huko nyuma? Nikirudi kwenye hoja yako, unaposema kuwa Ulimwengu ni "Mnyawaranda" unaweza kutusaidia kujua kwanini mpaka leo yupo nchini na anafahamika kama Mtanzania mwenzetu? Wazungu wanasema ... "support your claim". Hebu na wewe tuweke sawa Mkuu.
 
Ningependa kujua cv ya Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonyesha kuwa pale mahakamani katika kesi ya katiba.
Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio mwanasheria. nasikia pia alishakuwa mwakilishi wa Tanzania makao makuu ya umoja wa vijana huko Algeria, pia ni mmoja wa vijana waliolelewa na umoja wa vijana wa Tanu na ni muumini mkubwa wa sera za mwalimu nyerere ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.

  1. Tutsi by nature
  2. Legal guru
  3. Media entrepreneur
  4. Spymaster
  5. Journalist
  6. Political analyst
  7. Critical thinker
 
Ni Mtanzania, kama hutaki nyamaza au acha. Kwanini unamsingizia mabaya ambayo hajawahi tenda? Angekuwa ameshiriki basi Ocampo angekula naye sahani moja. Acheni kupaka matope watu, kisa wao kukubalikA na kusikilizwa na watu, please, acheni roho mbaya
Mkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.

Ila nafahamu kwamba Kabila aliponyakua madaraka kule Zaïre akishirikiana ana akina Bizima Karaha (Banyamulenge), Generali na Prof. Wamba dia Wamba walikuwa watu wa kwanza kwanza kufika kule.
 
Mkuu, suala ni je ni kweli Ulimwengu hakuwa raia wa Tanzania, kama serikali ilivyotaka kutuaminisha huko nyuma? Nikirudi kwenye hoja yako, unaposema kuwa Ulimwengu ni "Mnyawaranda" unaweza kutusaidia kujua kwanini mpaka leo yupo nchini na anafahamika kama Mtanzania mwenzetu? Wazungu wanasema ... "support your claim". Hebu na wewe tuweke sawa Mkuu.
Wewe ndio unamfahamu kama Mtanzania. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba serikali ilipochukua uraia wake hakuomba ili awe naturalized. Mara ya mwisho nakumbuka kusikia kwamba anafanya kazi hapa kama mgeni akitumia kibali.
 
"Jenerali Ulimwengu" is a revolutionary credo he self-assumed during revolutionary heydays, especially while taking part in the students political debates or as byline when he wrote articles in the Daily News. But from Kamachumu and Kaigara Primary School, Katoke Middle School, Nyakato Secondary School, Tabora (High) School and the UDSM, his true official names were Twaha Khalifan, not Jenerali Ulimwengu.
 
Mkuu, suala ni je ni kweli Ulimwengu hakuwa raia wa Tanzania, kama serikali ilivyotaka kutuaminisha huko nyuma? Nikirudi kwenye hoja yako, unaposema kuwa Ulimwengu ni "Mnyawaranda" unaweza kutusaidia kujua kwanini mpaka leo yupo nchini na anafahamika kama Mtanzania mwenzetu? Wazungu wanasema ... "support your claim". Hebu na wewe tuweke sawa Mkuu.
Kuna raia wa kuzaliwa na raia wa kujiandikisha. Raia wa kujiandikisha kuna haki fulani anakosa tofauti na raia wa kuzaliwa. Haki hizo nimefogeti kidogo.
 
Mkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.

Ila nafahamu kwamba Kabila aliponyakua madaraka kule Zaïre akishirikiana ana akina Bizima Karaha (Banyamulenge), Generali na Prof. Wamba dia Wamba walikuwa watu wa kwanza kwanza kufika kule.
Povu mnatoa nyie wenye roho mbaya, mmekalia kuwavua uraia Watz wenzenu. Tena bila haya, miongoni waliomuunga mkono Kabila ni Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere, mbona yeye hujamtaja. Moja ya tatizo letu kubwa, tukitofautiana na mwenzetu kimawazo, na hasa ukikuzidi uwezo wa kiakili. Badala ya kujifunza kutoka kwake, unavua uraia. Dunia ilitusuta kwa kumvua uraia Jenerali Ulimwengu na kumfanya stateless, wakaona aibu wakamrejeshea uraia wake. Leo nawe unakuja na ujinga ule ule wa kumvua uraia. Kazaliwa Tanzania, kakulia Tanzania, kazeekea Tanzania. Acheni roho mbaya
 
Back
Top Bottom