Tanzania kuna haja ya kuwa na Serikali ya Mseto?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
 
Katiba mpya itasimamia vyema vyama vya siasa na kushiriki ipasavyo katika maendeleo hata kama hawajateuliwa kuwa mawiziri watendaji wa serikali!!

Hoja za vyama vya upinzani zenye maslahi mapana ya Taifa hazitobezwa bali zitachukuliwa na kufanyiwa kazi ipasavyo!!

Na mawziri hawatokua WABUNGE bali watendaji wa SERIKALI na Hapo utachorwa mstari wa WABUNGE na mawaziri!

NASISITIZA

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!!
 
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Aliyekuambia Watanzania wanataka Serikali ya mseto ni nani? Hiyo Serikali yako ya Mseto ina faida gani kwa Watanzania walio wengi! Zaidi tu ya kuendeleza utafunaji tu wa keki ya Taifa kwa watu wachache?

Watanzania tunataka Katiba Mpya, na yenye maudhui yatokanayo na ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.
 
Tusipoteze muda kuongelea wabunge wakati kila mtu anajua fika uchaguzi wa 2020 haukuwa huru , wazi wala hauwezi kuhesabika kabisa!. Uchaguzi unatakiwa kuwa wa watu.
 
Aliyekuambia Watanzania wanataka Serikali ya mseto ni nani? Hiyo Serikali yako ya Mseto ina faida gani kwa Watanzania walio wengi! Zaidi tu ya kuendeleza utafunaji tu wa keki ya Taifa kwa watu wachache?

Watanzania tunataka Katiba Mpya, na yenye maudhui yatokanayo na ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.
Katiba mpya ina gharama zake

Uko tayari?

Au ni mbwembwe tu nyuma ya key board
 
Katiba mpya ina gharama zake

Uko tayari?

Au ni mbwembwe tu nyuma ya key board
Gharama gani unayo iongelea? Halafu unaniuliza swali la mkwara; eti uko tayari? Tayari for what!! Katiba Mpya ilishafikia mpaka hatua ya kuundwa kwa Bunge la Katiba!

Ila kwa bahati nyinyi ma ccm na ukawa, mkauteka ule mjadala kwa manufaa yenu ya kisiasa.
 
Mbowe alijaribu kudai Katiba mpya pale Mwanza, sidhani kama ataidai tena.

Hizo ndio gharama bwashee

Nakuuliza kwa upole kabisa, uko tayari?
 
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Huwezi kuwa na serikali ya mseto na vilaza wanaopinga miradi yote ya maendeleo
 
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni

Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Tuandike KATIBA mpya.

CCM imeridhia mchakato uanze.

Rais ameridhia, CDM wamekubali,

RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Hapatakuwa na gharama kubwa ikiwa tutafuata ushauri wa Judge WARIOBA wa kuanzia Pale kwenye RASIMU.

Mseto umeshindwa kutibu malaria Zanzibar.

Ameeeen.
 
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Hakuna haja.
Chaguzu ufanyike waingie kwa kura sio kwa njia ya kulialia
 
Back
Top Bottom