Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.
My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo...
Maoni ya ACT Wazalendo kuhusu utendaji kazi wa Kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS)
Ndugu Waandishi wa Habari,
Kwa miaka mingi, pamekuwa na mjadala wa mara kwa...
Tatizo kubwa sana sasa kwenye nchi yetu sio wanasiasa bali ni Watanzania wote kwa ujumla kama nchi. Watanzania tumekuwa nchi kama mpya vile wengi wetu ni wavivu wa kufikiri, washabiki wa mambo...
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo...
Kuna sehemu nahisi CHADEMA hawaendi na moja Kichwani zile hesabu za darasa la pili, tatu, nne hadi la tano. Bahati mbaya mkiambiwa Ukweli huwa mnapiga kelele bila logic.
Hebu CHADEMA kwa...
Kitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka UK kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC.
Rwanda ni nchi ya pili kwa udogo kwy sayari ya dunia na ni nchi barani Afrika ambayo...
Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi...
Nimejitahidi kusoma Hotuba yote ya Bajeti ya mwaka 2022/2023, hakika kila mmoja atakubaliana nami kuwa ni Bajeti bora haijawahi kutokea. sinahaja ya kudadavua ubora wake kwa undani zaidi, ila...
Nimeamini kabisa kuwa hakuna anaye ijua kesho yake.
Kipindi cha Magufuli kuna watu walijitolea kuanzisha mijadala ya kumuongezea muda wa kutawala ili kama nchi tuwe kama Rwanda, Burundi na...
Habari za asubuhi wana JF wenzangu.
Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo...
Nimeangalia uteuzi wa Rais kwa wateule wake, nimeangalia na kelele za wananchi kabla ya uteuzi wao, nimepima akili za uteuzi nimejikuta nikipaza sauti kuwa tutafika tukiwa tumechakaa
Reference...
Moja kwa moja kwenye mada..
Ifike mahala Serikali ya Tanzania iache kuwachekea Wakenya kwa kisingizio cha uhusiano wa ujirani mwema.
Siku za hivi karibuni walizuia malori ya Tanzania kwenye...
Bila hata kujua kiwango cha elimu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, mara moja naona makosa ya kiutendaji aliyonayo. Kwanza, yaonekana ni mtu asiyejua kuchagua maneno. Pili, hakujua mchakato upi uboreshe...
Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha.
Au hata lugha Moja tu kwa...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.
Hamza...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo.
Rais...
Hivi balozi zetu huko nje ni kichaka/jalala la wastaafu na watendaji wasioendana na kasi ya mabadiliko kama anavyodai Mheshimiwa Rais kuwa Sirro ameshindwa kuendana na kasi ndani ya jeshi la...
Napokea maombi ya wafuasi wangu Inbox wakitaka maoni kuhusu utenguzi, na uteuzi wa IGP na DCI. Maoni yangu ni mafupi tu, Jeshi la Polisi lina siasa kali ambazo zinaliangamiza taifa, Ushauri...
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Topic ya leo ni swali, kuhusu ule mchakato wa Tanzania kuwa na vazi rasmi la taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.