Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka.
Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini...
Mabeberu nini maana yake halisi: - hili neno liliweza kupata tafsiri yake halisi katika kipindi cha miaka ya sitini late baada ya nchi nyingi za Africa kupata uhuru kutoka katika ukoloni wa nchi...
Taarifa ya Gazeti la Mwananchi inaeleza kwamba Kamishna wa Zamani wa TRA, Rished Bade ameteuliwa kuwa Kamishna wa kitengo cha Fedha za Nje Wizara ya fedha.
Bade anatajwa kuwa miongoni mwa maofisa...
Kalamu ya Chacha Wangwe Jr,
Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi...
Huo ndio Ukweli mchungu kuumeza, lakini usiokwepeka.
Sio ujasiri wala ushujaa kwa viongozi kutembea mkifurahia mikopo na kujipiga kifua mbele ya wananchi majukwaani,kama vile ni jambo la kheri na...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze katika mada husika.
Nakumbuka siku 1 mimi na mjomba wangu tulikuwa tunatoka feri kula samaki, tukijielekeza mnazi mmoja...
Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana...
Jibu ni wazi kabisa wkamba, kutokana na kutambua rekodi ya Tanzania katika utekelezaji wa mageuzi na pia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu ambapo fedha hizo zitatumika katika kutekeleza miradi ya...
Leo Katibu Mkuu wa Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi alikuwa Mkoani Geita kwenye muendelezo wa kampeni ya Sensa na Vijana.
Kampeni hiyo ilifunguliwa Mjini Dar es salaam...
Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amesema katika Mkoa wa Shinyanga bado kuna tatizo la ukosefu wa huduma ya umeme wa uhakika hasa katika maeneo ya viwanda na migodi hali inayosababisha...
DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza...
Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda.
Sina uhakika sana kama hilo...
IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao.
Makamba amesema hayo Julai...
Hili suala la anwani za makazi bila shaka serikali ilitenga bajeti yake na ndiyo maana hadi waziri aliamua kuzunguka kwa chopa kuhimiza.
Sasa kizungumkuti ni kuwa kuna wilaya na mikoa vibao huvi...
Sisi tulio nje ya CCM hatufurahii kabisa kuona mtu yeyote akiteswa au kuonewa kwa sababu yeyote Ile japokuwa wapo Wana CCM wengi hufurahia kuona mateso ya watu wengine hususani kwa sababu za za...
"JPM ALICHELEWA KUWA RAIS WETU"
Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonyesha...
Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani.
Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu.
Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.