IGP Wambura Awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma

Jun 4, 2022
68
184
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP. CAMILLUS WAMBURA amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino Dodoma.
IMG_20220720_172529_796.jpg
IMG_20220720_172529_635.jpg
IMG_20220720_172529_566.jpg
IMG_20220720_172529_708.jpg
 
Mbona bodigadi wake ni yuleyule akiyekua kwa Sirro?
 
Bordgurd kumbe ni akina Mwa Mwaa kutoka nyanda za juu kusini
 
Rais ana Imani naye pia wananchi wanayo imani kubwa, hivyo Kamwe asituangushe sisi wananchi lakini pia Mhe. Rais.

Ili aweze kufanikiwa ni lazima afanye mabadiliko makubwa ya kiutendaji, Jeshi lijijenge upya ili liendelee kuheshimika.
 
Back
Top Bottom