Watumishi wa Umma nchi hii hawajitambui kabisa.
Hayati Magufuli aliwapunguzia kodi ili mishahara yao iboreke wakalamika sana.
Leo Rais Samia ameongeza moja kwa moja ile Gross salary bado...
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amesitisha agizo la Mkuu wa Wilaya ya Mbeya (DC), Dk Rashid Chuachua la kuwataka wakulima zaidi ya 1,700 kupisha eneo lenye ukubwa wa hekta 120...
Makosa ya ubakaji na ulawiti yapo mbioni kuondolewa dhamana kutokana na Serikali kuanza mchakato wa kufanyia marekebisho Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Hatua hiyo imetokana na utafiti...
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema jitihada zinafanyika ili kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza wanaoishi katika maeneo ya miinuko baada ya mtambo wa Mabatini kupata hitilafu...
Wana Bodi suala la Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhamasisha matumizi ya majiko ya gesi limepitishwa na Bunge hili la Bajeti lililomalizika Juni 30.
Kama mnavyofahamu Bunge linasimama kwa...
HOTUBA YA JPM ITAKAYOISHI MILELE NA KUREJEWA NA VIZAZI VIJAVYO
Nanukuu
Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Linisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui,ni kuguswa...
===
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi "
Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza,
Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa...
Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima.
Ametibua nini? Mpaka akag'olewa?
Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro...
Jana Alhamis usiku ulitumwa ujumbe toka NSSF ukitaarifu kuwa leo Ijumaa saa 3 asubuhi Waziri atakutana na wastaafu wa NSSF na PSSSF kwenye ukumbi wa NSSF Ilala ili asikilize matatizo yao, kuitisha...
Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba...
Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote.
Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme...
Huyu Ndiye Pombe Magufuli:
- Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe
- Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani
Aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, John...
Ni wazi sasa kwamba Mamlaka ya Uteuzi imefahamu kwamba Jeshi la Polisi halikuwa na uwezo wala weledi wowote ule wakati wa kutunga kesi ya Uongo dhidi ya Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Kiongozi...
Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu.
Kwenye uwekezaji, mfano kama bei...
Serikali imetoa agizo kwa wawekezaji katika Sekta ya Madini kuendeleza maeneo yao yenye madini ya kimkakati badala ya kuyaacha bila kuyaendeleza suala linalopelekea wenye nia ya kuwekeza kukosa...
DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATA YA NYARUYOBA, AHAMASISHA SENSA NA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.
Kazi Inaendelea Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma ambapo Mbunge Mhe. Dkt. Florence...
Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana.
Hivyo kwakuwa yeye ni...
Kada- huyu ni mtu ambaye amekisoma vyema chama na kanuni zake bila kupepesa macho na kujiapiza ndani ya moyo wake kukitumikia chama Hiko bila kuogopa kitu chochote hata kifo.
Hivyo kuwa "KADA"...
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Damas Ndumbaro amezindua mjadala wa Katiba mpya na kusema Katiba ya JMT ni nzuri ila inahitaji marekebisho kidogo.
Ndumbaro kasema duniani hakuna Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.