Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Kitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka UK kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC.
Rwanda ni nchi ya pili kwa udogo kwy sayari ya dunia na ni nchi barani Afrika ambayo imesongwa na ukaazi wa watu (densely populated).
Rwanda ina watu 12.95 ml 2020 wanaoishi kwy eneo lenye ukubwa wa 26,338 km2 sawa na 10,169 sq ml.
Nachelea kuamini kwamba Rwanda inanufaika na mpango huu wa UK/EU huku HUENDA ikitazamia kuwafaulisha hao wakimbizi kwy nchi za DR Congo na Tz ambazo maeneo yao yanayokaliwa na binadamu ni 25% @. Mpango huo umehusu Rwanda na UK tu hadi sasa.
Aidha, kuna changamoto nyemelezi ya usalama kwy ukanda wa EU na EAC kutokana na kwamba wakimbizi hao ni watu toka ktk mataifa yenye utamaduni wa vita na migogoro ya kudumu.
Tz ikiwa bado inapambana kudhibiti IS kule mpakani na Msumbiji, mara tena huko Kaskazini Magharibi Rwanda inakaribisha waasi waliokimbia vita makwao na kuwa wakimbizi. Vipi km hawa wakimbizi wakija baadaye huko kubadilika na kuwa km IS dhidi ya ama DR Congo au Tz?
Tumeona wakimbizi wa Kisomalia waliopewa kambi Tanga na srkl ya awamu ya kwanza wakija baadaye kutugeuka na kuanza kuhujumu hifadhi zetu za taifa na migodi yetu.
EAC iwe macho na Rwanda.