Bajeti ya mwaka 2022/2023 ni bora kuliko, lakini tatizo ni hili

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,588
5,197
Nimejitahidi kusoma Hotuba yote ya Bajeti ya mwaka 2022/2023, hakika kila mmoja atakubaliana nami kuwa ni Bajeti bora haijawahi kutokea. sinahaja ya kudadavua ubora wake kwa undani zaidi, ila wasiwasi wangu upo katika jambo moja tu, nalo ni:

1. WATENDAJI wanao paswa kuitekeleza BAJETI kama ilivyo kusudiwa, endapo Serikali itasimamia utekelezaji wa Bajeti hii kwa kila jambo lililo kusudiwa, hakika tutapiga hatua kubwa, vinginevyo tutaendelea kupiga kwata.

Utekelezaji wa Bajeti hii lazima uendane na WATENDAJI wenye dhamira iliyo kusudiwa na kiongozi wa Nchi ktk Bajeti hiii.

Tunategemea safu za watendaji kupangwa upya ili kuweka watu makini na shapu ktk utekelezaji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom