Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia. RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake. Miaka ya Mwendazake...
22 Reactions
58 Replies
5K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza maadhimisho ya miaka ya 95 ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (Chinese People’s Liberation Army) tangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1.Misri Hili ni taifa la kale zaidi Africa, ambalo Historia yake inaweza kuangaziwa kuanzia karne ya 6 kabla ya Kristo. 2. Ethiopia, Hili ni Taifa la Kale Africa ambalo Historia yake inaenda...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma, Dar es Salaam. GEOPHREY PINDA (NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA): Tanzania hakuna Sheria...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Hakika tunapitia kipindi kigumu ,yaani kila siku afadhali ya jana. Vifurushi vinapanda kila muda hadi nashindwa kuelewa majukumu ya TCRA . Nimenunua kifurushi cha voda tena cha chuo haya ndio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa changamoto za wanajeshi zinaendelea kufanyiwa kazi na Wizara kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Jeshi...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Kutokana na Nchi kuharibiwa na KIKUNDI cha watu wachache wasiozidi 40 ikiwa ni pamoja na kututungia KATIBA ya Chama chao na kuiita KATIBA ya Wananchi huku Wananchi wakiwa hawakushirikishwa na...
4 Reactions
19 Replies
830 Views
Wakuu Taarifa zilizopo Ni Kwamba hafla ya uhapisho Wa Marc na Maras Unafanyika Dar na Sio Dodoma Tena. . Taarifa ya Kutoka ikulu ilisema hafla itafanyika Dodoma Ila Imepigwa U-turn uhapisho ni...
0 Reactions
6 Replies
895 Views
Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu Sanasana watu wakilalamika...
1 Reactions
6 Replies
699 Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mwanafunzi-ajifungua-chumba-cha-mtihani-simiyu-3897018
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia mahakama kuruhusu waliokuwa wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na mawakili wa CHADEMA. Huu ni wakati haswaa wa kujua na kuelewa ubaya wa Jiwe kwenye siasa za tanzania . Kitendo cha Ndugayi na...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
9 Reactions
159 Replies
13K Views
Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu. 1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
13 Reactions
160 Replies
21K Views
Wapi kampeni ya Join the Chain mbona imepotea …haisikiki tena baada ya wanachama wa Chadema kuchanga fedha zao ‘’nguvu buku’’ lakini baada ya baadhi ya viongozi wa chama hicho kupata fedha za...
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi. Mlijisahau sana...
25 Reactions
184 Replies
19K Views
Kipekee nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi wetu wa nchi kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya kwa taifa. Pili kama wanadamu wengine nyinyi nyote mnamapungufu yenu kama binadamu wengine,ni...
0 Reactions
2 Replies
494 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…