Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Tumezoea miaka mingi ya uchaguzi Wakenya kuona chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kikituonesha ni mgombea yupi wa kiti cha urais wa Kenya wanaemuunga mkono, lakini safari hii tunaona...
0 Reactions
4 Replies
701 Views
Nchi Tajiri zaidi Afrika Mashariki inafanya Uchaguzi kwa mifumo ya kisasa kabisa. Je, Nchi nyingine Afrika Mashariki zinaweza kuiga matumizi ya mifumo hiyo? Nini maoni yako kuhusu matumizi ya...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk. Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu...
18 Reactions
60 Replies
6K Views
Watanzania tume huru ya uchaguzi Ina lengo Moja TU kubwa la kupata viongozi wa kisiasa wanaopatikana kihalali kulingana na na ushawishi na kukubalika kwake na wapiga kura. Viongozi waliopatikana...
3 Reactions
3 Replies
757 Views
Siwezi kuwasalimia kwa sababu tunakera sana. Ivi kweli tumeshindwa kujitolea kufa kupona kuitoa ccm madarakani ambayo inaingia kwa mitutu ya bunduki na kuiba kura zetu. Jamani mimi kwa hili hapana...
3 Reactions
2 Replies
501 Views
Rais Samia hahitaji kusifiwa na mtu aliyemteua na kumuapisha anachotaka ni utendaji wa huyo mteuliwa full stop Kama kuna mteuliwa anadhani kuwa mama anachotaka ni kusifiwa anapoteza muda Mama...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewataka washiriki wa Mafunzo yanayohusu Manunuzi ya Umma kuhakikisha kuwa Mafunzo hayo yanawajengea Weledi na...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Urais ni utumishi wa Umma, shuhudia alichokifanya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mama na mtoto wa familia hii kutoka Mkoa wa Manyara
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya...
1 Reactions
0 Replies
639 Views
Mkataba kati ya Sinohyro na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018 na Muda wa Ujenzi wa mradi ulikuwa ni miaka miwili(2) yaani miezi 24. Sinohyro...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sio nchi kamili kwa hio hatuwezi kuiita nchi ila itoshe kusema huu ni mkoa vip 5 star, ni tofauti kabisa na mikoa yote ya Tanzania Weka zile hoja za kipumbavu pembeni kwamba Zanzibar kiongozi wao...
5 Reactions
6 Replies
892 Views
Midege mingine mitano ya nini? 👇 -- Serikali inakusudia kununua ndege mpya tano katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwemo ndege moja ya mizigo, idadi ambayo itaifanya serikali kuwa na jumla ya ndege...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Peace be upon you all, Awali niweke wazi mimi sio mwanachama wa chama chochote, sina kadi ya chama chochote ila napenda haki. Ukweli ni kwamba BILA KUCHAPANA KAMWE HAKUNA KUHESHIMIANA. Kenya...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
RATIBA YA ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA MHE. JOSEPH KAMONGA JIMBONI KWAKE. Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mkoani Njombe Joseph Kamonga atakuwa na ziara ya Wiki 1 kwenye Kata 7 Jimboni kwake Ludewa kuanzia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa...
13 Reactions
61 Replies
5K Views
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikimfuatilia huyu samia, nikagundua lugha yake ni nyepesi sana haina mamlaka ya mtu mwenye hadhi ya Rais au mtu "anayedhaniwa" kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Si zaidi ya...
26 Reactions
134 Replies
10K Views
Litolewe tangazo watanzania wote plus NEC na CCM tusitishe kila kitu tujifunze kwa Wakenya. Nyie mazezeta aka Maiti jifunzeni kwa wa Kenya kwenye Democrasi na sio manshinda kutwa nzima kusifia na...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Chukua tu Ruzuku ya Chadema kwa miaka 5 ya Rais Magufuli na michango ya Wabunge kwa Awamu hiyo kisha tembelea Jengo la Makao makuu ya Chadema Ufipa St Kisha chukua Bajeti zote za Awamu ya 5...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom