21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania
Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa
Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais...
Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Mahera amewaonya wasimamizi wa uchaguzi ambao wameficha barua za uteuzi za wagombea wa ubunge na udiwani ambao walishinda rufaa zao kwa sababu majina na picha...
Ni katika Kipindi cha Dakila 45 ITV, hakika mambo ni moto
Mzee Msuya ambaye ni waziri mkuu mstaafu anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja
Kuhusu CCM Mzee...
Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo.
"kwa sasa...
Ndugu watanzania kwa siku mbili mfululizo tumekuwa tukijadili swala la Ombi la Zitto Kabwe kumwombea msamaha Freeman Mbowe kama alivyotumwa na J J Mnyika wa Chadema. Nadhani mjadala umetosha...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo aliwaalika Viongozi wa Wamachinga kukagua ujenzi wa soko la Kariakoo
Makalla amesema Ujenzi umefikia asilimia 32 na Soko likikamilika litatoa huduma...
Uchaguzi wa Kenya unafanyika leo tarehe 9/8/2022
Uchaguzi wa huu una maslahi mapana si tu kwa wa-Kenya bali ukanda mzima wa E Africa, Tanzania tukiwa miongoni mwao
Wakati wa uchaguzi wa 2017 CDM...
Nimeona Video inayosambaa kwa kasi sana mitandaoni ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwaita wabunge na watanzania wapuuzi na kama hawamtaki wamuue.
Kwenye hotuba yake ametumia neno MSHENZI...
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee inayojishughulisha na Masuala ya Vijana nchini Tanzania kwa vitendo kabisa.
Pamoja na kwamba Dunia nzima kwa sasa...
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi...
Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo?
Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za...
MILANGO YA BWAWA LA UMEME, TANI 26, KUKODI WICHI TOKA NJE, NIKUTUPIGA WATZ NA KITU KIZITO
Watu wengi wameonekana kushangazwa na maelezo ya Waziri wa sekta husika baada ya kujibu hoja mbungeni...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
"Tuliamua...
Waziri wa nishati January Makamba amesema Ujenzi wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67
Makamba amesema baada ya kubadilisha Menejimenti na Body ya Tanesco na kuweka timu mpya...
Wana Bodi Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Njombe ametuomba watanzania kumpatia orodha ya wateule wake ambao wanajikweza na hawatekelezi kikamilifu majukumu yao kwa mujibu...
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa...
Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie...
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na...
Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua
Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.