Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila kupumzika. Ni ziara muhimu iliyoleta matumaini zaidi kwa Watanzania.
kwa kufungua fursa zaidi ,uboreshwaji wa huduma na miundombinu sanjari na utatuzi wa changamoto na kero zilizokuwa zikiwakabili wananchi wa Mikoa husika . Maelekezo yake na ahadi zake alizozitoa zimekuwa matumaini na fursa kwa wakazi wa Mikoa hiyo na Tanzania kwa ujumla.
Huu utawala wa Rais Samia Suluhu ni neema kubwa kwa watanzania mungu aendelee kumuongoza