Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 259
- 353
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
Kati ya vitu vya maana serikali ya awamu ya sita imefanya ni hili la veta bola tupate ufundi tujiajiri maana kukaa kusubiri michongo sio kabisa nasikia vitakuepo vyuo vya veta kila wilaya hii ni neema kwa sisi wa mikoaniKatika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
Ni hatua nzuri sana.Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
Bado wimbi la vijana kutaka kuajiliwa litakuwepo mana kujiajiri mpaka kufikia level za kimataifa bado kunahitaji mtaji mkubwa.Kati ya vitu vya maana serikali ya awamu ya sita imefanya ni hili la veta bola tupate ufundi tujiajiri maana kukaa kusubiri michongo sio kabisa nasikia vitakuepo vyuo vya veta kila wilaya hii ni neema kwa sisi wa mikoani
Ujenzi ndio unaanza hayo mengine ni baada ya ujenzi kukamilika....wamejipanga kuhakikisha ubora wa taaluma ktk vyuo vipya vya Veta?
..ni wazo zuri sana kujenga vyuo vya ufundi, lakini nina wasiwasi kwamba msisitizo mkubwa unawekwa ktk IDADI badala ya VIWANGO.
Sisi ni watu wa idadi siyo viwango. Nchi hii tukiamua kurukia idea.......wamejipanga kuhakikisha ubora wa taaluma ktk vyuo vipya vya Veta?
..ni wazo zuri sana kujenga vyuo vya ufundi, lakini nina wasiwasi kwamba msisitizo mkubwa unawekwa ktk IDADI badala ya VIWANGO.
Ujenzi ndio unaanza hayo mengine ni baada ya ujenzi kukamilika..
Kwa hiyo waache kujenga waboreshe ubora wa taaluma ndipo wajenge sio?..wamejipanga kuhakikisha ubora wa taaluma ktk vyuo vipya vya Veta?
..ni wazo zuri sana kujenga vyuo vya ufundi, lakini nina wasiwasi kwamba msisitizo mkubwa unawekwa ktk IDADI badala ya VIWANGO.
Kwa hiyo waache kujenga waboreshe ubora wa taaluma ndipo wajenge sio?
Sawa ngoja tusubiri utekerezajiKatika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
Kumbe eehMuda wa kujipenyeza kwenye kamati za manunuzi ndo huu.
Mwendo wa urf wa kamba ndo huu. Akina dso na takukuru wanapata migao na kunyamaza.
Zipo Veta Kongwe zitatoa hao wakufunzi...Kweli.
..Lakini tujiandae kupata WAKUFUNZI walionolewa kwelikweli.
..Pia tuhakiki Veta tulizonazo sasa hivi kama zinakidhi VIWANGO vya kitaaluma.
..Hivi tuna vyuo vingapi vya waalimu / wakufunzi wa veta?
..Ujenzi wa Veta ni mzuri, lakini tunaomba serikali iwe makini zaidi na viwango vya taaluma ktk eneo hilo.
Kama kuna Jambo la msingi na lenye mbolea ni hili.
Tupunguze elimu ya kujazana madaftari kichwani.
Mwanafunzi aliyekaa miaka 4 veta ni tofauti na mwana funzi aliyekaa miaka 4 shule ya secondary.
Soko la njombe limetumia billion 10, vyuo vya veta 60 billion 169, wastani wa sh 2.81 billion kwa chuo kimoja! Chuo kina mabweni, madarasa na karakana za kufundishia! Sawa serikali ya mama, kazi iendelee.Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
Kwa mawazo yako veta watakwenda mbadala wa sekondari? Mwanafunzi wa darasa la 7 anao uwezo kupewa mafunzo ya taaluma?Kama kuna Jambo la msingi na lenye mbolea ni hili.
Tupunguze elimu ya kujazana madaftari kichwani.
Mwanafunzi aliyekaa miaka 4 veta ni tofauti na mwana funzi aliyekaa miaka 4 shule ya secondary.
Kabisa wanaweza.tena ndo watashika vizuri.Kwa mawazo yako veta watakwenda mbadala wa sekondari? Mwanafunzi wa darasa la 7 anao uwezo kupewa mafunzo ya taaluma?