Mzee Kikwete ni mpenda Demokrasia, mwaka 2015 alikataa mambo ya wagombea kupita bila kupingwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,962
141,963
Rais mstaafu mzee Kikwete ni mpenda Demokrasia ndio sababu anasema ukweli juu ya ubora wa IEBC.

Nakumbuka 2015 alikataa mambo ya Wagombea kupita bila kupingwa kwenye kura za maoni CCM na hata uchaguzi mkuu.
 
Rais mstaafu mzee Kikwete ni mpenda Demokrasia ndio sababu anasema ukweli juu ya ubora wa IEBC

Nakumbuka 2015 alikataa mambo ya Wagombea kupita bila kupingwa kwenye kura za maoni CCM na hata uchaguzi mkuu
Sahihi. Kilichofuata baada ya hapo hata Shetani hayupo tayari kuweka kwenye rekodi yake. Hiiiiii bagosha.
 
Back
Top Bottom