Wote tunajua baada ya kuondoka Magufuli anayeweza kutoka macho makavu na kupinga rushwa na Ufisadi akiwa macho makavu ni Tundu Antipas Lissu tu wengine hawajapata nafasi kama Makonda alivyodai...
Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe
Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu...
Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana.
Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo.
Tujifunze kwamba sote...
Waandishi Habari wa Tanzania uwezo wao unaishia kwenye kuwahoji viongozi wa level ya Ubunge kushuka Chini na si zaidi ya hapo
Kumuhoji Nguli kama Aziz kunahitaji Utulivu mkubwa wa akili na tumbo...
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia
Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM...
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei...
Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mariane Young amekutana na viongozi wa Chadema ikiwa ni Maandalizi ya kikao cha Kamati Kuu
Viongozi waliokutana naye ni Katibu Mkuu John Mnyika na Makamu...
Baada ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani ya Oktoba 29, 2025 kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuchukua hatua za haraka kurejesha Imani ya wananchi kutokana na...
Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri)
Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu...
Hakika ushirika wa Wachawi haudumu, Watu wameuawa Kimara Ibrahim Juma anasema ni Gaza! Hivi huyu mzee alipataje Ujaji?
Aliyemdanganya Othman Chande kuongea na Wahariri kamuuza kwa bei chee mno...
Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali...
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya...
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.
Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini...
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na...
Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro.
Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au...
Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika Daniel...
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
Heshima sana wanajamvi,
Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana.
Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua.
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi...