Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Angalia tofauti ya jumbe hizi jinsi Marekani ilivyowatakia heri nchi hizi halafu linganisha na kwetu, jua linakaribia kukucha bana! Serikali ya Sakia na genge lake haikubaliki kokote, ni...
5 Reactions
13 Replies
374 Views
Mchakato ni kama ufuatao;- Gas turbine kubwa ya kuzalisha megawatts 100 ni usd million 20 sawa na kama tsh Trillion 40+ kama Mfano wa gas turbine zinazozalisha megawatts 100+ General Electric...
3 Reactions
21 Replies
405 Views
Ukinunua Mafuta utakutana na tozo nyingi sana lakini kati ya hizo Kuna -Tozo ya maendeleo ya reli -Tozo ya maendeleo ya Bandari -Tozo ya maendeleo ya Barabara -Tozo ya maendeleo ya maji nk Sasa...
0 Reactions
3 Replies
164 Views
Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani. Hatua hii inaakisi utayari wake...
2 Reactions
19 Replies
672 Views
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na...
1 Reactions
73 Replies
832 Views
Wote tunajua baada ya kuondoka Magufuli anayeweza kutoka macho makavu na kupinga rushwa na Ufisadi akiwa macho makavu ni Tundu Antipas Lissu tu wengine hawajapata nafasi kama Makonda alivyodai...
6 Reactions
14 Replies
192 Views
Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu...
8 Reactions
22 Replies
382 Views
Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote...
1 Reactions
3 Replies
157 Views
Waandishi Habari wa Tanzania uwezo wao unaishia kwenye kuwahoji viongozi wa level ya Ubunge kushuka Chini na si zaidi ya hapo Kumuhoji Nguli kama Aziz kunahitaji Utulivu mkubwa wa akili na tumbo...
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
  • Redirect
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei...
1 Reactions
Replies
Views
Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mariane Young amekutana na viongozi wa Chadema ikiwa ni Maandalizi ya kikao cha Kamati Kuu Viongozi waliokutana naye ni Katibu Mkuu John Mnyika na Makamu...
8 Reactions
15 Replies
353 Views
Baada ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani ya Oktoba 29, 2025 kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuchukua hatua za haraka kurejesha Imani ya wananchi kutokana na...
1 Reactions
11 Replies
305 Views
Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri) Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu...
7 Reactions
46 Replies
746 Views
Hakika ushirika wa Wachawi haudumu, Watu wameuawa Kimara Ibrahim Juma anasema ni Gaza! Hivi huyu mzee alipataje Ujaji? Aliyemdanganya Othman Chande kuongea na Wahariri kamuuza kwa bei chee mno...
13 Reactions
16 Replies
588 Views
Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali...
3 Reactions
10 Replies
329 Views
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya...
1 Reactions
38 Replies
825 Views
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa. Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini...
2 Reactions
12 Replies
360 Views
  • Redirect
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom