Ushauri wa Bure kuhusu siku ya 7/7

Ushauri wa Bure kuhusu siku ya 7/7

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
2,112
Reaction score
3,028
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.

Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
 
img_1_1777674827518.jpg
 
Wewe utakaye ishi milelel usitoke. Usipokufa 7/7 utakufa kwa kugongwa na gari 8/8. Bora kufia a just cause!
 
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.

Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Tunaishi kwa neema ya Mwenyezi Mungu, sio kwa ujanja wetu.

Hakuna guarantee kwamba, usipokufa kwenye mapambano ya kupigania haki yako, utaishi. Wapo waliofanya kila wawezalo kujiepusha na MO29, lakini muda wao wa kuiaga dunia ulipowadia juhudi zao za kujiepusha na maandamano hazikuwasaidia kubaki hapa duniani. Waliondoka wakawaacha walioandamana!
 
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.

Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Watu watatoka na Maisha yataendelea kama kawaida
 
Yale madude ya Mwana FA nina kazi nayo yani lazima tarehe 7 niyanyakue
 
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.

Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Acha woga.
 
My friends, ladies and gentlemen,

Nchi yetu ni tulivu na salama sana kwa sasa, pengine kuliko hata wakati wowote tangu tupate uhuru,

Ulinzi na usalama wa watu, mali zao na makazi yao ni wa uhakika, na hakuna sababu hata moja ya wananchi kuacha kuendelea na shughuli zao za kila siku kama kawaida, lakini pia shughuli zinazoendelea katika viwanja vya maonyesho ya kimataifa ya kibiashara sabasaba zitaendelea kufanyika kama kawaida, na huenda kutakua na wageni mashuhuri hususani wakuu wa nchi kutoka nchi mbalimbali, wataokazuru maonyesho hayo muhimu sana kwa uchumi wa taifa letu.

hakuna haja ya kubabaika na porojo au uzushi wa wafuata mkumbo ambao wanateswa sana na athari za hatua yao ya kususia uchaguzi, athari zinazowafanya kuona kila kitu ni kibaya kwao na kila mtu alie kinyume na mihemko yao ni adui yao 🐒
 
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.

Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Tunatoka na boksa,sijui itakuwaje kwenda madukani!
 
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.

Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi dukani ili Yale ya Octoba 29 Yasije yakakukuta.
Nataka nitoke ili nione urambo wako dhidi ya wanyonge.
 
ni sherehe ya wafanyabiashara, hivyo biashara lazima ziendelee

Sawa. Mimi mwenyewe ni mfanyabiashara na Mkulima, huwa lazima tarehe 7/7 ya Kila Mwaka nitoke na familia yangu kwenda kuangalia Teknolojia ya kisasa za Sana za Kilimo. Lakini ya Mwaka huu nitabaki nyumbani.
 
Back
Top Bottom