Mahakama Masjala Ndogo ya Dar es salaam April 30, 2026 imekataa ombi la Tundu Lissu la kuunganishwa katika shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya...
Sote tunajua kuwa tume ya Chande ilijaa watu walioenda shule, lakini report waliyoitoa, ni aheri hata tungewatafuta wanakijiji wanaojua kusoma na kuandika, wanakijiji waadilifu, wafanye uchunguzi...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu, Aboubakar Assenga amesema ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa wananchi, taasisi za serikali ni suala la kipaumbele katika ustawi wa nchi pamoja na ulinzi na...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angela Kairuki, amebainisha kuwa sekta ya mawasiliano nchini imeendelea kushuhudia ukuaji mkubwa na kuendelea kuchangia pato la Taifa. Waziri Kairuki...
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaomba yaomba Tsh Bilioni 222.5 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Mchanganuo
Tsh bilioni 13.1 kwa matumizi ya...
Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala...
Hii Mimi sijawahi kuona kuweweseka kwa namna hii kwa viongozi wa serikali popote duniani kama wanavyoweweseka wa serikali haramu ya Samia Suluhu Hassan na CCM...
Just see what has happened...
Yani inakuwa Leo mahakamani kesho hukumu (kifungo na fine kwa pamoja) hawa watukanaji mitandaoni wataisha wote nakwambia tunawalea sana. Kesi zikimbizwe watu wataacha tu, yani unatukana Leo...
Aliyejenga hapo Kijitonyama kota za usalama wa Taifa alilikosea sana Taifa maana hao walitakiwa kuishi mitaani na sisi, ingekuwa hivyo wasingeshindwa kupata TAARIFA kama kweli zilikuwepo za vijana...
Na Waandishi WETU
SIKU saba zinaisha leo tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya kuchunguza matukio mabaya yaliyoharibu taswira ya Tanzania yaliyosababisha watu zaidi ya 500 kuuawa, lakini hakuna...
CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu.
Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga...
https://youtu.be/DmMvTZn92Cs?si=Pdj11TtTgLHCmAPc
Tazama na sikiliza hii mpaka mwisho.
Ameanza kwa kunukuu maadiko haya toka katika Biblia - Neno la Mungu ambayo ni Habari Njema kwa Watu Wote...
Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo.
Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini?
It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
Ripoti inasisitiza bila huruma kuwa hitimisho lake halikutokana na mawazo au tuhuma, bali ushahidi wa moja kwa moja kutoka kwa wale waliohusika. Metrics za ushiriki mkubwa zilimsaidia Tume...
Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho.
Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA.
Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA...
Inawezekanaje TCRA na JAB kuruhusu Diwani wa CCM Kata ya Kariakoo Haji Sunday Manara kufanya kazi za utangazaji wakati bado ni mwanasiasa active mwenye nafasi ya uongozi?
Je, sheria inaruhusu...
Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewaasa Watanzania kuacha kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kwani kwanza ni wakubwa wa umri na...
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Balozi Radhia Msuya, ametoa ufafanuzi kuhusu idadi ya vifo iliyobainishwa katika ripoti ya tume hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
Wakuu,
Angalia tofauti ya jumbe hizi jinsi Marekani ilivyowatakia heri nchi hizi halafu linganisha na kwetu, jua linakaribia kukucha bana! Serikali ya Sakia na genge lake haikubaliki kokote, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.