Tuna wanasiasa wengi sana wapo kwa maslahi ya matumbo yao tu lakini wana support siasa ambazo moyoni wenyewe wanazipinga. Moja yao ni Prof. Mkumbo na Katambi.
Wote walikuwa wameongea sana huko nyuma kuhusu umuhimu wa kufuata sheria na demokrasia sasa eti wamebadilika! Njaa mbaya sana. Mkumbo ambaye ni usalama wa taifa amekuwa mnafiki mkubwa na chawa wakati tunajua fika akubaliani na mambo ndani ya CCM.
Ni kama Msigwa sema yeye amefanikiwa ku fake zaidi. Hawa ndiyo mayuda kweli kweli. Eti waziri anaogopa Chadema kiasi cha kuzuia mikutano ambayo ipo kisheria. Sasa kama huyu Mama raisi fake kafikia huko je tuna Raisi kweli hapo🤦🏾♂️