Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,410
Reaction score
42,396
1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua?
6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani?
7. Kwamba pengine wewe hutaliona jua maisha yako yote?8. Kama ndivyo je serikali zijazo zenye utu zitamwachia huru?
9. Je anayempa Chakula polepole nayeye anafwatiliwa 24/7?
10. Kama you hai kisaikolojia atakuwaje?
11.Haya kama wamemuuwa je mwisho wake ulikuwaje?
12. Alilia?
13 Alipata nafasi ya kutubu Kwa wauwaji wake?
14. Je kifo chake kilikuwaje?
15. Cha maumivu?
16. Cha taratibu?
16. Mwili wake uliçhomwa?
17. Ulitupwa baharini?
18. Ulimwagiwa tindikali?
19. Kumuua ni rahisi kuliko aendelee kuwa hai?
20. Atavujisha siri za alipokuwa nk.

Maswali haya yanayomhusu POLEPOLE ni ya wote waliokufa ambao maiti zao hazijaonekana mpaka leo. Baadhi ya maswali hapo hayamhusu mtu kama Mzee MOHAMMED ALLY KIBAO and the alike.
 
Waliotekwa wote walishauawa.

Mifano ni LISSU, DJUMBE, PADRE KITIMA na SATIVA
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA
 
Siku waliyomdaka pale nyumbani kwake sipati picha...Kichapo walichompa hakifikiriki... Inafikia kipindi mpaka natokwa na machozi ingawa ukweli ni kwamba huu upumbavu ulianzishwa na hao hao akina Polepole.
 
HUyu mzanzibari katuharibia nchi yetu kabisa.Kiongozi mzuri kama polepole ambaye sa100 anaingia mara 10000 kumfikia kiuwezo lakini kaamua kumuua!.Ipo siku atatueleza kampeleka wapi kiongozi wetu mzalendo polepole.Sabasaba siyo mbali maanda nchi tutaikomboa na kuondoa uchafu wote sa huyu mzanzibar
 
1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua?
6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani?
7. Kwamba pengine wewe hutaliona jua maisha yako yote?8. Kama ndivyo je serikali zijazo zenye utu zitamwachia huru?
9. Je anayempa Chakula polepole nayeye anafwatiliwa 24/7?
10. Kama you hai kisaikolojia atakuwaje?
11.Haya kama wamemuuwa je mwisho wake ulikuwaje?
12. Alilia?
13 Alipata nafasi ya kutubu Kwa wauwaji wake?
14. Je kifo chake kilikuwaje?
15. Cha maumivu?
16. Cha taratibu?
16. Mwili wake uliçhomwa?
17. Ulitupwa baharini?
18. Ulimwagiwa tindikali?
19. Kumuua ni rahisi kuliko aendelee kuwa hai?
20. Atavujisha siri za alipokuwa nk.

Maswali haya yanayomhusu POLEPOLE ni ya wote waliokufa ambao maiti zao hazijaonekana mpaka leo. Baadhi ya maswali hapo hayamhusu mtu kama Mzee MOHAMMED ALLY KIBAO and the alike.
Polepole wameshamuua, ni risk kubwa mno kumuacha hai kwani yeye kuwa hai baada ya kutekwa ni hatari sana kwa Samia na vibaka wenzake zaidi ya hatari iliyokuwepo kwao kutokana na kauli zake za mitandaoni zilizopelekea wao kumteka brutally mpaka kuacha damu zimetapakaa kwenye ghetto lake.
 
1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua?
6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani?
7. Kwamba pengine wewe hutaliona jua maisha yako yote?8. Kama ndivyo je serikali zijazo zenye utu zitamwachia huru?
9. Je anayempa Chakula polepole nayeye anafwatiliwa 24/7?
10. Kama you hai kisaikolojia atakuwaje?
11.Haya kama wamemuuwa je mwisho wake ulikuwaje?
12. Alilia?
13 Alipata nafasi ya kutubu Kwa wauwaji wake?
14. Je kifo chake kilikuwaje?
15. Cha maumivu?
16. Cha taratibu?
16. Mwili wake uliçhomwa?
17. Ulitupwa baharini?
18. Ulimwagiwa tindikali?
19. Kumuua ni rahisi kuliko aendelee kuwa hai?
20. Atavujisha siri za alipokuwa nk.

Maswali haya yanayomhusu POLEPOLE ni ya wote waliokufa ambao maiti zao hazijaonekana mpaka leo. Baadhi ya maswali hapo hayamhusu mtu kama Mzee MOHAMMED ALLY KIBAO and the alike.
nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom